Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,516
- 30,572
Hata Huddersfield City wasingekubali kupigwa hivi
Mimi bado nahisi wachezaji wanamchokoza Sari ili aongee kiitaliano tena kama ile ya Bonamouth
Jana aliulizwa kuhusu mentality na motivation akasema hapana, kwa hiyo sasa Chelsea haina tatizo la mentality wala motivation, sijui shida nini zaidi
Poleeeee mkuu, ila kwakuwa umekuwa mkweli kwamba INAUMA, na umeonyesha ujasili wa kurudi hapa kukiri........NAKUPONGEZA SANAInauma balaa. Kuna watu wananitag kwenye meme za kuichamba Chelsea huko Instagram sina amani. Nikigeuka kushoto nakutana na notification JF yan ndio nakwisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
timu gani hili yaani mechi mbili goli kumi, ni nyingi sana aisee goli kumi yaani 10, kumi, 10 aaaah jamaniii 10!
ngoja nimuulize sheikh Ramadan Sobhi hii kwa kiarabu inaitwaje maana 3mzuka zinaitwa thalatha..........5,tano a.k.a mkono wanaita hamsa je six,6,kumi,10 wanaitaje kwa kule kwao?maana nasikia jamaa yupo jijini na jana ameswali msikiti wa mtoro hapo
Hichi kikundi ni ngumu kumotivate, sasa wewe umekuwa kama Sarrisasa kama simba imepigwa 5 na MO amejitokeza na kupiga mkwala mzito ikiwemo kuwafurusha baadhi ya wachezaji nyinyi mnapigwa 6,SITA,SIX baada ya kuchukua hatua munakimbia jukwaa......kweli hiki ni kikundi cha wala ganja kikiongozwa na kocha wao SARRI kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yaani hata Cardcitty watatudindishia maana huu mchezo wa jana utawapa confidence, tujiandae kisaikolojia tu nafasi 7/8 maana hata Wolves watatupitaHahaa.. Wakati mwingine huu utani unaleta burudani sana. Kinachoburudisha ni utani kama huu ila kinachofurahisha zaidi ni utani wa kuamini sasa Chelsea keshakua jamvi la wageni kwa kuwa karuhusu goli sita bila majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri aliyajua hayo yote, kwa nini hakuja na mbinu mbadala?Mkuu game ya jana wale jamaa walijipanga sana. Waliangalia makosa waliyafanya huko nyuma walishatusoma mistakes zetu walishaona makosa udhaifu wao. Kwa hiyo kilichotokea jana ni uzembe wetu katika defense na wao walifanyia marekebisho defense yao. Namlaumu Alonso na Luiz walikua wanafanya makosa mengi mno. Atleast Rudiger alikua anajitahidi.
Kule mbele huwezi kumlaumu Hazard walifanya kilichobidi lakini kwa ukabaji ule wanaanza kukaba kwetu wakipoteza mpira hawakusubiri ufike kati. Wanataka wao ndio wamiliki mpira. Mashambulizi yakifika kwao hawakufuati pembeni kuutafuta wanajaa pembezoni mwa 18 wanajua hazard ni mzuri kwenye ku drible anaweza kusababisha penalty au faulo wakati wowote. Wanaanza kukaba akitoa pasi hata akipiga shuti linaishia kwenye miguu yao. Yan hawa jamaa nina ubakika waliisoma game yetu kitambo na ndipo walipotumalizia hapo.
Kwa kiasi fulani bado namlaumu kocha kuzidi kumuamini Alonso na wakati kila siku hakuna kipya anacholeta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Cardcitty watatudindishia maana huu mchezo wa jana utawapa confidence, tujiandae kisaikolojia tu nafasi 7/8 maana hata Wolves watatupita
Yapo yale madaraja ya vijijini unapanga magogo mawili au minazi anavuka mtu mmoja mmojaHii kipigo kikubwa. Kwa muda wa miaka 28 Chelsea haiyawahi kufungwa magoli 6.
Poleni darajani.Leo daraja limekuwa uchochoro.
Nimekuja leo hapa niulize unacho jisikia. Nisingetokea kabisa ungesemaje.?sasa we jamaa huoni hata aibu hivi hapo unajitetea nini sasa hebu jitetee kwa kipigo cha jana tuone kama wewe ni bingwa wa kujitetea ........na ungekuwa unaweza kujitetea mbona ulituachia manyoya hapa jana
Wao ndio wanaamini hivi.Yaani hata Cardcitty watatudindishia maana huu mchezo wa jana utawapa confidence, tujiandae kisaikolojia tu nafasi 7/8 maana hata Wolves watatupita
Ndio maana nikasema kocha katuangusha. Naona ni heri tungemchukua Luis Enrique kuliko hiki kimbunga tulicho nacho sasa. Ngoja tuendelee kumpa muda kwa sababu bado nafasi anayo.Sarri aliyajua hayo yote, kwa nini hakuja na mbinu mbadala?