Hongera zako kwa kufurahia, ukiona mwenzio ananyolewa.....


15873405_1507766112596720_8455602200589821681_n.jpg
 
The January 2017......

Huyu Victor Wanyama ametumwa fedha au ametumwa kazi....? Any way kazi na fedha zinapiganiana ila Wanyama anacheza utafikiri Tottenham Hotspur ipo moyoni mwake toka utoto...... Wanyama the best midfielder so far.

Wakati Chelsea akivunja na kuharibu record ya Tottenham ya kutokufungwa pale darajani, sehemu ya kiungo cha Chelsea kiliwekwa na kuwa chini ya ulinzi wa Wanyama na Dembele..... Vivyo hivyo Leo wakati Tottenham anavunja na kuharibu record ya Chelsea kutokufungwa hapa white hate Lane, kiungo cha Chelsea kiliendelea kuwa chini ya ulinzi wa Wanyama na Dembele. Ukiachia kukaba basi Dembele anakupa kitu cha pekee ambacho wanyama, kante na matic hawana... Personal skillful... Uwezo wa kudrive timu kwenda mbele na umiliki wa mpira ndicho kitu alichowazidi hawa viungo wengine wa kati.

3:4:3 against 3:4:3..... Hapa Moses na Alonso walizidiwa sana katika kukaba pia waliathiriwa sana na speed technical ya Walker na Rose kama wings back wenzao. Magoli yanatengenezewa upande wa Alonso then yamefungwa upande wa Moses.

Christian Ericksen huyu ni quite player ambaye kinachomfanya avae jezi sio kupiga chenga, sio kupiga dalizi, sio kukimbia na mpira..... Ubora wake katika final touch iwe ya dead balls au live balls ndicho kitu pekee kinachomfanya avae jezi na kuwa katika first eleven. Hazard ni tajiri wa pace, dribble, possession ila Leo haikuwa siku yake nzuri kwa matokeo maana Chelsea wanatengeneza nafasi tatu tu za hatari katika lango la Spurs.

Niliwahi kuandika kuwa anaye kimbizwa na Spurs kazi anayo ila anayemkimbiza Spurs pia ana kazi...... Spurs yupo vizuri sana labda tu mumuombee injuries. Kumbe ili umfunge Chelsea lazima upitemo(3:4:3) ahahahaha.

Timu zote zilizopo ndani top six Bado zinauwezo wa kushindania ubingwa kutokana na matokeo haya ya Leo.....

Tuendelee kulaumiana maana huu Msimu ni wa lawama.... Happy new yeah Anthony Conte happy new year best young talented player so far Delle Alli.

Tottenham Hotspur 2-0 Chelsea
 
1. Kuna kitu ameongea lee empire hapo juu kikanifanya nikumbuke what kind of player we need. Na hii sio kwa January hii. Huyu ni mchezaji wa kununuliwa Summer.

Mchezaji atakayecheza nafasi ya Matic ila mwenye sifa za Matic na Fabregas combined. Dembele kwa kiasi fulani anafit vigezo hivyo na ndiyo maana anamfanya Wanyama aonekane bora zaidi. Mchezaji wa hivyo, ambaye anamfanya partner wake hata kama ni wa kawaida aonekane bora.

Sijui hasa ni nani atatufaa lakini in my view, huyo ndiye mchezaji tunayemhitaji.


2. Marcos Alonso nimeshamuongelea sana sasa nikiongea zaidi nitakuwa hater. Ila he is our weakest link. Na kama alivyo Dembele kwa Wanyama, Ubovu wa Alonso unamfanya Cahill aonekane mbovu zaidi na unamfanya Hazard ashindwe kuonekana bora zaidi.


3. Mwisho kabisa nadhani ni wakati sasa Conte aanze kumpanga Kurt Zouma nafasi ya Cahill. Aanze hata kuingia sub..nadhani baada ya game nne tano atakuwa tayari. Pengine aanze kumchezesha mechi ya weekend hii ya FA ili apime ubora wake wa sasa baada ya majeruhi aliyokuwa nayo.

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG] [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG] TOP OF THE LEAGUE....
 
Back
Top Bottom