Hazard kafanya nini msimu huu?

Matic?

Fabregas?

Oscar?

Costa?

Viwango vyao viko sawa na msimu uliopita?


Nini kinasababisha kushuka viwango wachezaji wote hawa? Coaching style/approach? Unajua hata team ikiandamwa na majeruhi sana huwa wanakaa chini na kuangalia sababu ambayo inasababisha kama facilities/medical procedures...
 
Nini kinasababisha kushuka viwango wachezaji wote hawa? Coaching style/approach? Unajua hata team ikiandamwa na majeruhi sana huwa wanakaa chini na kuangalia sababu ambayo inasababisha kama facilities/medical procedures...

Kwanza unakubaliana Mimi kua hao niliowataja viwango vyao vimeshuka?

Tukubaliane kwanza hilo then tuje ktk hoja yako.
 
Kwanza unakubaliana Mimi kua hao niliowataja viwango vyao vimeshuka?

Tukubaliane kwanza hilo then tuje ktk hoja yako.

Timu nzima in general imeshuka kiwango....ndio maana iko nafasi ya 16 badala ya top four....ha ha ha ha ha
 
umepaniki??!!! khe khe khe khe khe khe.......................

Teh teh teh misimu mitatu iliyopita ktk thread yenu alikua anaonekana mdudu Nzi tu.

Wamemtimua tena kule Spain D Moyes
 
Last edited by a moderator:
Tatizo liko golini kwa kipa na striker. Na baadhi ya wachezaji viwango vyao vimeshuka na pia timu tunazokutana nazo zinawadhibiti baadhi ya wachezaji na kukata kabisa nguvu ya Chelsea.

Na pia epl ni ligi yenye changamoto nyingi sn.

Sikubaliani na wewe kuwa tatizo lenu lipo golini. Begovich ni nyanda mzuri na kuna mechi alizocheza vizuri zaidi ya outfield players, kawaokoa mechi kadhaa ama sivyo mngefungwa magoli zaidi ya mlivyofungwa eg vs Man City, vs Southampton etc. Tatizo lenu zaidi ni midfield na defending in general. Strikers wasipopata services toka kwa midfield hapatakuwa na magoli
 
Ligi ilivyoanza Chelsea ilikuwa na matatizo kidogo lakini muda unavyozidi kuendelea matatizo yanazidi,now timu nzima imekosa confedence (kocha,mabeki,viungo na washabuliaji).Kwa sasa Willian na Abromovich(mmiliki ,yes amefanya la maana kumpa nafasi Jose arekebishe timu) ndio wanafanya vizuri.Kwa sasa Mourinho anapata taabu saba kuirekebisha timu,alijaribu kubadilisha defence,akabadilisha viungo still hajafanikiwa na kibaya zaidi wapinzani wameshajua ukicheza na Chelsea ushindi upo.Seniors Players wote (JT,Ivanovic,Cahill,Matic,Cesc,Oscar,Hazard,Costa,Ramires,Pedro) wanacheza chini ya kiwango
 
Ntuzu be like ........
 

Attachments

  • 1447176167505.jpg
    1447176167505.jpg
    13.1 KB · Views: 107
Last edited by a moderator:
2E46ED5000000578-0-image-a-22_1447119196878.jpg


Moureen anavyokonda .... ..

2E3607A800000578-0-image-a-24_1447119204037.jpg


Mashabiki wa Chelsick wanaomsujudia .... .

2E42199C00000578-0-image-a-23_1447119202263.jpg


Kimenuka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

2E49196B00000578-0-image-a-26_1447119318091.jpg


Tajiri kasusa kuangaia toy lake ... .

2E368D3E00000578-0-image-a-25_1447119278242.jpg


hawapikiki chungu kimoja na moureen
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bado naiona future kwa club ya CHELSEA regardless matokeo ya kutisha msimu huu.

Kumekuwa na sababu nyingi zikitolewa na washabiki wa Chelsea juu ya nini kimetokea hapo darajani kulifanya daraja kutikisika kwa mara ya kwanza kwa miongo mingi.

Kuna wengine wanasema chanzo ni yule mganga wa timu DR. Eva ndiye chanzo kikuu - wengine wanadai kwamba ni wachezaji tu wamejisahau baada ya kushika ubingwa msimu uliopita na huku wengine wakimshutumu Jose kuwa kimya wakati wa usajiri wa msimu.

Ni ukweli usiopingika kwamba kuna baadhi ya wachezaji wamecheza kiwango cha chini sana, Hazard, Ivanovic, Metic, Terry, Cahil, Costa, Fab.

Kinachonipa moyo ni kwamba Chesea ni Club pekee ambayo ina hazina kubwa ya wachezaji makinda ambao wanakipiga sehemu mbalimbali Ulaya - bado naiona future ya Chelsea ikiwa inangaa tena kuanzia mwenzi Januari. Tunaweza kuona sura mpya wakati wa dirisha dogo na baadhi ya hawa wachezaji kurudishwa Darajani kuokoa jahazi.

Cheki mziki huu hapa chini na umri wao ambao wanakipiga nje ya Chelsea.

1. Nathan Ake (Midfielder, Watford, 20)
2. Andreas Christensen (Defender, Borussia Monchengladbach, 19)
3. Mario Pasalic (Midfielder, Monaco, 20)
4. Todd Kane (Defender, NEC Nijmegen, 22)
5. Juan Cuadrado (Winger, Juventus, 27)
6. Victor Moses (Forward, West Ham, 24)
7. Marko Marin (Winger, Trabzonspor, 26)
8. Kenneth Omeruo (Defender, Kasimpasa, 22)
9. Lucas Piazon (Midfielder, Reading, 21)
10. Ulises Davila (Midfielder, Vitoria, 24)
11. Patrick Bamford (Forward, Crystal Palace, 22)
12. Wallace (Defender, Carpi, 21)
13. Stipe Perica (Forward, Udinese, 20)
14. Jeremie Boga (Midfielder, Stade Rennais, 18)
15. Nathaniel Chalobah (Midfielder, Napoli, 20)
16. Matej Delac (Goalkeeper, Sarajevo, 23)
17. Christian Atsu (Winger, Bournemouth, 23)
18. John Swift (Midfielder, Brentford, 20)
19. Islam Feruz (Forward, Hibernian, 20)
20. Alex Davey (Defender, Peterborough, 20)
21. Michael Hector (Defender, Reading, 23)
22. Jordan Houghton (Midfielder, Gillingham, 20)
23. Jhoao Rodriguez (Forward, Sint-Truidense, 19)
24. Bekanty Victorien Angban (Winger, Sint-Truidense, 19)
25. Cristian Cuevas (Midfielder, Sint-Truidense, 20)
26. Lewis Baker (Midfielder, Vitesse, 20)
27. Isaiah Brown (Forward, Vitesse, 18)
28. Dominic Solanke (Forward, Vitesse, 18)
29. Nathan (Midfielder, Vitesse, 19)
30. Danilo Pantic (Midfielder, Vitesse, 19)




 
Pamoja na wakati mgumu tulio nao, bado tuna future. Timu yetu ni nzuri na kwa jinsi walivyocheza na Stoke, timu imebadilika sana. bila shaka tutaanza kupata ushindi kuanzia mechi ijayo. COme mwaka mpya tutakuwa tunajicheka kwa kuwa kwenye position isiyo yetu!
 
Back
Top Bottom