everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,627
- 15,017
ni kitu kibaya sana kulitambua tatizo lako then unakaa nalo milele na kuendelea kuliamn! who taught u to believe that women are weak..! duh! mkuu naona tunahama keys tujiandae jumapili kumtungua gonnaaa
Weak kwenye kuongea au hujui wana maneno mengi kuliko wanaume?