2AEBA01B00000578-3177696-image-a-90_1438137430952.jpg


England defender Gary Cahill was hit in the face as he scored Chelsea's equaliser in the 86th minute against Barcelona

2AEB9DF200000578-3177696-image-a-87_1438137381980.jpg


Cahill scored in the dying moments to send the pre-season game between the two giants in the US to penalties
2AEB99EC00000578-3177696-image-m-81_1438137207883.jpg


Cahill, pictured being seen to by medical staff after his goal, produced a brave header to score Chelsea's late equaliser
2AEB9D0200000578-3177696-image-m-84_1438137290900.jpg


Cahill put his neck on the line to equalise in the pre-season tie before being substituted as Chelsea went on to win on penalties

 
2AEB53C200000578-3177696-image-m-24_1438132441687.jpg


Oscar almost doubled Chelsea's lead with a first-half free-kick (pictured shooting) but the crossbar saved Barcelona


 
2AEB505200000578-3177696-image-m-3_1438131774594.jpg


Chelsea's Cesar Azpilicueta jumps for the ball during their pre-season tie against Barcelona which became quite fierce at times

2AEB518500000578-3177696-image-a-9_1438132013758.jpg


Chelsea's Kenedy, who has not signed with the Premier League club yet, contests with Suarez for the ball during the tie




 
2AEB8DA900000578-3177696-image-a-59_1438136686188.jpg


Loic Remy, pictured scoring the winning penalty, helped the champions win in their preparations for the new season ahead


 
2AEB7ADC00000578-3177696-image-a-45_1438135945664.jpg


Chelsea manager Jose Mourinho leaves the field as he saw his team draw 2-2 before beating Barcelona 4-2 on penalties


 
Nimemaliza kuiangalia replay ya game:

- Hazard IS the deal for us

- That kid Kenedy...yuko vizuri sana...with enough time atakuwa hatari! Hata defensively amesaidia

- Cuadrado!!!! well, asipoenda mkopo msimu huu sijui! victor moses anatishia sub yake sana

- Ramires is improving tofauti na alivyokuwa last season

- master of PENALTIES...man of the match....Courtouis!

- Oscar should be used more often, he has some magical touches

 
Lile goli la Torres dkk za mwisho mwisho that night dhidi ya Barcelona was fantastic. nimelitazama tena kwenye video clip, wow haliishi utamu!

Mkuu lile goli huwa nikiliangalia naamini football haina nidhamu
 
Umuhudumie mwenzangu.......humu ndani juzi tulikuwa na malumbano mlipofungwa wakasema its just a preseason....sasa ndo maana nawambia msipoteze muda kucheki preseason.....

by that time atakuwa bado yuko mawingu ya 9 ndo anarejea. na sitataka kudisupt mrejeo wake nisije nikampoteza bure kwa sudden heart failure
 
Nimemaliza kuiangalia replay ya game:

- Hazard IS the deal for us

- That kid Kenedy...yuko vizuri sana...with enough time atakuwa hatari! Hata defensively amesaidia

- Cuadrado!!!! well, asipoenda mkopo msimu huu sijui! victor moses anatishia sub yake sana

- Ramires is improving tofauti na alivyokuwa last season

- master of PENALTIES...man of the match....Courtouis!

- Oscar should be used more often, he has some magical touches


how about falcao?
 
Duh nasoma huku kuwa Cahill na Costa wanaweza kukosa mechi ya kirafiki ya Jumapili dhidi ya Ar6nal kutokana na majeruhi waliyoyapata kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Barcelona.

- Cahill huenda akacheza hata kama atakuwa alivunjika pua kama leo ataenda kutengenezewa mask.

- Costa naye alijitoa mapema (he had a feeling) ili kuepusha majeraha zaidi.

Hivyo bado sijapata formal statement ya maendeleo yao kwa leo...
 
Back
Top Bottom