Chelsea fc Tanzania

Jay8

Member
May 26, 2017
40
49
Habari Tanzania
Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
mshabiki yoyote kutoka nchi yoyote unakaribishwa kutoa support
Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote
NENDA
Instagram
TAFUTA
chelseafc.tanzania (yenye bendera)
welcome all
 
Muu kuna watu ni mashabiki wa Chelsea wapo Kenya na maeneo mengine.. Hao hujawafikiria.?
Asante. Ndio maana kuna kipengele cha mawazo yenu. Page ni kwa ajili ya washabiki wa chelsea Tanzania. Ila mshabiki yoyote wa chelsea anakaribishwa.. Kenya wana yakwao.
Ila nalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom