Chelsea atafungwa na Man U leo

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,506
18,800

Leo kuanzia saa 1:30 usiku kutakuwa na mtanange mkali Kati ya Chelsea na Man United mchezo utachezwa Old Trafford.Kwa utabiri wangu Man United ataibuka kidedea shida kuu ya Chelsea hawana kocha mzuri ila Wana team Bora zaidi ya Man United ukiangalia mchezaji mmoja mmoja namaanisha quality players.

Kama Chelsea ingekuwa na kocha Ancelloti wangeweza hata kuchukua ubingwa msimu shida ya Lampard Hana tactical ability lakini pia amekuwa akiwachezesha Wachezaji wake nje ya position na pia snawafavor Sana Wachezaji wa kiingereza zaidi anaweza kumweka fundi Kovacic benchi ilimradi mwingereza mwenzake Mason mount acheze.

Tukija kwa Ole yeye kidogo anauafadhali compare na Lampard ana uwezo wa tactics hii ndio itamsaidia kushinda mechi ya leo.
 
Chelsea akicheza vizuri kwa morali na Lampard akiwaweka wachezaji sehemu zao sahihi kama inavyotakiwa wacheze bila ya kuwabadilishia hakika tutashinda.

NB

Chelsea haitashinda ikiwa itacheza utopolo kama iliocheza dhidi ya Sevilla.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
kweli sisi vibonde.... Lampard afukuzwe
Hata kama Chelsea atashinda lakini bado nitabaki kuamini Lampard si kocha bora kama Allegri, Lampard anatujengea tu vidonda vya moyo ktk kuvumilia maumivu ambavyo mashabiki wa Chelsea huwa hatuna huo uwezo kama mashabiki wa Arsenal.

Napendekeza Lampard afukuzwe atue Allegri haraka sana kabla ya timu janja kumuwahi huyo kocha.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Tsup
 

Attachments

  • Screenshot_20201024-215856.png
    Screenshot_20201024-215856.png
    33.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201024-215856.png
    Screenshot_20201024-215856.png
    33.7 KB · Views: 1

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom