Chelsea announce £60 million Oscar transfer to Shanghai SIPG

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
UINGEREZA: Klabu ya Chelsea imetangaza kumuuza kiungo Oscar, kwenda klabu ya Shanghai SIPG ya nchini China kwa Pauni Milioni 60.
Oscar Emboaba alijiunga na matajiri hao wa jijini London kwa ada ya Pouni Milioni 24 kutoka klabu ya International ya nchini Brazil mwaka 2012.

Mchezaji huyo wa nafasi ya kiungo mshambuliaji amekuwa na wakati mgumu katika kikosi cha kocha Antonio Conte baada ya kuonekana ameshindwa kuendana na mfumo wa 3-4-3 unaoipa mafanikio klabu hiyo kwa sasa.

======

Shaka Hislop breaks down the big names that are set to miss Premier League's Boxing Day fixtures.
Oscar will complete his move from Chelsea to Shanghai SIPG in January, the Premier League leaders have announced.

The deal will see Oscar, 25, massively increase his £90,000-a-week wages at Stamford Bridge and become the Blues' record sale at £60 million, according to ESPN FC sources, eclipsing the £50m fee received from Paris Saint-Germain for David Luiz in the summer of 2014.

Chelsea said in a statement on their official website: "We thank Oscar for his wonderful service and wish him the very best of luck for the future."

Oscar joined Chelsea from Brazilian club Internacional for £25m in the summer of 2012 and made 203 appearances in all competitions for the Blues, scoring 38 goals and winning the Premier League, Europa League and League Cup during four-and-a-half seasons at Stamford Bridge.

But the Brazil international had not started a Premier League match since September and increasingly became viewed as surplus to requirements following head coach Antonio Conte's successful switch to a 3-4-3 formation.


Oscar spent four-and-a-half seasons at Chelsea.
Last week a source close to Oscar told ESPN FC that the player was weighing up a lucrative offer from Shanghai SIPG, who are coached by former Chelsea manager Andre Villas-Boas and also boast fellow Brazilians Hulk and Elkeson.

And speaking after Chelsea's 1-0 win over Crystal Palace on Saturday, teammate Willian confirmed to ESPN Brasil that Oscar had said goodbye to the rest of the Blues squad as he prepared to complete the move.

"He's a good friend and a great player," Willian said of Oscar. "I wish him and his family all the best. A footballer's career can be quick, and when an offer like this comes in you have to think of your family. You want to be prepared for when you have to stop playing.
 
daah china wanamwaga mapesa hataikubeba wachezaj toka ulaya wanataka ligi yao ipate jina na baada ili wawe wanafanya biahara kama ulaya..........
 
Oscar aende tu. Pale bench lingemmalizia talent yake. Chelsea wamewin kwenye deal hili
 
Hivi hizi pesa zao zinarudi kweli, au wanafanya show off tu ............??
 
Hawa wachina huwa siwaelewi, hivi mbona hata ligi yao sio maarufu au kuna kitu wanakitafuta.
 
Ha ha haa Huyo dogo hana lolote alisha expaya, wangebeba kitu kama cesc,ngolo kante au victor moses...
 
Na mchezaji anae jielewa haendi China
Ona kina Drogba, Anelka walienda wakakimbia
 
Duh hizi pesa si mchezo jamani....i think huyu ndiye kavunja record ya wote EL APACHE...:D:Dhuwa najiuliza ikitokea messi atalipwa ngapi jamani? Kwa messi sidhani kama wataweza....


El Apache-£32m per year
£615k per week
£88k per day
£3.6k per hour
£60 per minute
£1 second
 

Attachments

  • 1482497561667.jpg
    1482497561667.jpg
    93.2 KB · Views: 46
Kuzaliwa na bahati tu..huyu huyu tu oscar mourinho aliwatema KDB na Mata Chelsea kumtengenezea mazingira mazuri..Na Dunga Kumtema Coutinho WC 2014..Dogo ana Kismati
 
Back
Top Bottom