Cheki vibweka vya shabiki huyu wa simba aliyefutia makalio yake jezi ya yondani...!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000

Shabiki mmoja wa Simba alitoa kali ya mwaka baada ya kuchukua kipande cha jezi ya beki Kelvin Yondani na kujifutia makalio.

y1.gif

SHABIKI WA SIMBA AKIJIFUTIA MAKALIO YAKE KIPANDE CHA JEZI YA YONDANI HUKU AKIWAONYESHA MASHABIKI WA YANGA.
Yondani aliyewahi kukipiga Simba kabla ya kutua Yanga, aliwarushia mashabiki hao jezi wakati akitoka uwanjani baada ya kupewa kadi nyekundu.


y2.gif


HAPA MASHABIKI HAO WAKIIGOMBEA JEZI HIYO WALIYORUSHIWA NA YONDANI, BAADAYE WALIICHANA VIPANDE KAMA INAVYOONEKANA.

Nao wakaigombea kwa takribani dakika mbili na kuichana vipande, halafu shabiki huyo akachukua kipande chake na kuanza kujifuta makalio huku akiyaelekeza kwenye upande wa mashabiki wa Yanga.
 

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,709
1,225
Nimezoea kuona maaskari wakiwaelekea watazamaji wakati wa pambano sio kama hawa wa kwetu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom