thanks mkuuZipo kwa grade og hadi 35000 fake zake 15000 hadi 10000. Ila vizuri nenda kwenye maduka ya samsung wenyewe unaweza kupata za bei nafuu maana kuna wateja wakinunua simu hasa samsung j5 au j7 huwa wanaacha hizo eaphone maana sio wapenzi....