Cheka vs maugo saa ngapi na wapi leo 28 april 2012

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Cheka vs maugo wanapigana saa ngapi na wapi leo 28 april 2012. Niko bored nataka leo na mimi nikashuhudie ngumi
 
TRIPod9 hata mm natamani iyo kitu ngoja nifuatilie...
 
Last edited by a moderator:
nimeweza kupata ukumbi tu...PTA Sabasaba jijini daslamu...muda sijaona!..mwingine atutaftie!
 
nimeweza kupata ukumbi tu...PTA Sabasaba jijini daslamu...muda sijaona!..mwingine atutaftie!

Basi itakua ukumbi ni huu kweli coz hata mimi nimesikia ni PTA. Sasa muda ndo sijui. Wadau hem tujuzeni
 
Back
Top Bottom