Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
DaaahNiliwahi kumtembelea class mate wangu miaka ya mwishoni mwa 90 alifanya tukio fulani la kipuuuzi wakamtuliza maeneo hayo kwa miaka kadhaa.
kampige ngumu HAKIMU kesho ili ufungwe ktk zile central prison uone rangi zote duniaSijaona chakutisha humo gerezani labda nikwavile ni mpenzi wa kutizama muvi ngumu za mbele ambazo mateso ya humo hili la Cheka ni kama alifungwa nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mangombole kilosa hko ni balaaWangempeleka jela za kilimo kama Idete au Kiberege( wilayani Kilombero), bila shaka angekua na historia nzuri zaidi.
Gereza liko twn kbisa tena opposite na ofisi za manispa hpo ....Hizo jela wakienda watoto wa mama huwa wanaishia kulia tu kama watoto wadogo. Wakati wanalima huwa wanapanga mstari wafungwa wote, sasa ukichelewa hata hatua moja tu nyuma ya wenzako, basi kuna wafungwa wanaoitwa viherehere, hao(wapo chini ya nyapala kimamlaka) watakutwanga fimbo hadi ujute kuzaliwa.
Lijualikali (mb)baada ya kuhukumiwa, alipelekwa gereza la Idete na kuishi siku chache sana kabla ya kuhamishiwa Ukonga. Bila shaka waligundua asingeweza kuishi pale mahali. Sasa Cheka alikua gereza la mkoa, kazi kubwa ni kuchota maji na kupasua kuni, full kuangali tv! anyway, sema tu hata ile hali ya mtu kukunyima uhuru wako, bado ni mateso na adhabu kubwa sana.
Tofautisha filamu na uhalisia ndugu mtanzagiza, hizo filamu hazina uhalisia 98% magereza ya Tanzania au afrika kwa asilimia kubwa ni jehenam ndogo.Sijaona chakutisha humo gerezani labda nikwavile ni mpenzi wa kutizama muvi ngumu za mbele ambazo mateso ya humo hili la Cheka ni kama alifungwa nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaa hilo la kiberege afadhali mkuu angeenda idete daah angeumia sanaaWangempeleka jela za kilimo kama Idete au Kiberege( wilayani Kilombero), bila shaka angekua na historia nzuri zaidi.