tembobreki
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 106
- 56
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hata mtu akifa hadi ndg wanamkimbia pale atakapoamka ghaflaKulikoni tembobreki ?
Gazeti lipo ila limebadilishwa style, hivi sasa halitolewi kama zamani kibiashara bali ni kama NGO magazine fulani kwa ajili ya uhamasishaji wa mambo fulani fulani. Ofisi ilihama MIgomigo tangu 2007, siku hizi ipo jirani na viwanja vya Leaders Club, inatazamana na Ubalozi wa Kenya. Kwa sasa kampuni imekua sana kwani wana-produce mpaka TV Magazines, documentaries na feature films, pia inamiliki chuo cha sanaa (Gaba Arts Centre)...Long time no see Bishop. Mupo? Silioni lile gazeti letu pendwa. Afisi bado iko palepale Migomigo? Nataka nije kumiisalimuni.
Karibu, japo mimi nilishaondoka huko miaka mingi, ila nina mawasiliano nao ya mara kwa mara...Haya ni maendeleo makubwa. Napitaga sana barabarani mitaa hiyo.. Nitawatembelea karibuni panapo majaliwa.
unatunyanyasa sanaKwanije vipi somo?