Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013 nilizimika kureset to zero counters za simu yangu ili kujua nitatumia kifurushi kijacho kwa sekunde ngapi. Nilinunua kifurushi cha siku 7 na kutumiwa sms kuwa nimepata sekunde 8400 toka Vodacom. Baada ya masaa 24 tar 28 Nov 2013 nilitumiwa sms kuwa kifurushi changu kimeisha na nilipokagua counters za simu yangu niligungua kuwa nimetumia kifurushi hicho kwa dakika 28 tu yaani sekunde 1680, hivyo Vodacoma watakuwa waneniibia sekunde 6720 in this single transaction. Kwa kuwa kifurushi cha sekunde 8400 huuzwa Tshs 4,200/= ikwa na maana ya kila sekunde senti 50/=; watakuwa wameniibia sekunde 6720 x 0.50= Tshs 3,360/= in this single transction.Nilipojaribu kupiga customer services kwa namba 100 response ni maelezo marefu ya huduma zao lakini hakuna option ya kuzungumza na mhudumu ili kupata ufafanuzi.VODACOM KINDLY CONSIDER THIS NOTICE AS A FORMAL REQUEST FOR EXPLANATION NY PHONE NUMBER IS 0756604720Watanzania wenzangu tujifunze kutumia counter za simu zetu ili kudhibiti huu wizi wa makampuni haya ya simu. NAOMBA KUWASILISHA