Cheka bombastilk yageuka wizi mtupu

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,092
466
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013 nilizimika kureset to zero counters za simu yangu ili kujua nitatumia kifurushi kijacho kwa sekunde ngapi. Nilinunua kifurushi cha siku 7 na kutumiwa sms kuwa nimepata sekunde 8400 toka Vodacom. Baada ya masaa 24 tar 28 Nov 2013 nilitumiwa sms kuwa kifurushi changu kimeisha na nilipokagua counters za simu yangu niligungua kuwa nimetumia kifurushi hicho kwa dakika 28 tu yaani sekunde 1680, hivyo Vodacoma watakuwa waneniibia sekunde 6720 in this single transaction. Kwa kuwa kifurushi cha sekunde 8400 huuzwa Tshs 4,200/= ikwa na maana ya kila sekunde senti 50/=; watakuwa wameniibia sekunde 6720 x 0.50= Tshs 3,360/= in this single transction.Nilipojaribu kupiga customer services kwa namba 100 response ni maelezo marefu ya huduma zao lakini hakuna option ya kuzungumza na mhudumu ili kupata ufafanuzi.VODACOM KINDLY CONSIDER THIS NOTICE AS A FORMAL REQUEST FOR EXPLANATION NY PHONE NUMBER IS 0756604720Watanzania wenzangu tujifunze kutumia counter za simu zetu ili kudhibiti huu wizi wa makampuni haya ya simu. NAOMBA KUWASILISHA
 
Kwa 4200Tsh wanatoa sekunde 6000 badala ya 8400 walizokuwa wanatoa awali.....
 
Ni kweli wametoka sekunde 8400 hadi 6000 nami nahisi WATANABE anasema kweli kwa kuwa nami ninatumia sana kifurushi hicho lakini ninapoweka najikuta kama kinakwisha haraka, nitaanza kutumia counter za simu
 
Usitegemee kujibiwa na hao mafisadi. Mi nshahangaika nao sana. Kama si mkoloni ananipa airtime ambayo ameingia mkataba na Voda, ningekuwa nshatoka Voda siku nyingi sana.

Uzuri hawajakulazimisha uwe nao, wameshakuambia KAZI NI KWAKO.
 
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013 nilizimika kureset to zero counters za simu yangu ili kujua nitatumia kifurushi kijacho kwa sekunde ngapi. Nilinunua kifurushi cha siku 7 na kutumiwa sms kuwa nimepata sekunde 8400 toka Vodacom. Baada ya masaa 24 tar 28 Nov 2013 nilitumiwa sms kuwa kifurushi changu kimeisha na nilipokagua counters za simu yangu niligungua kuwa nimetumia kifurushi hicho kwa dakika 28 tu yaani sekunde 1680, hivyo Vodacoma watakuwa waneniibia sekunde 6720 in this single transaction. Kwa kuwa kifurushi cha sekunde 8400 huuzwa Tshs 4,200/= ikwa na maana ya kila sekunde senti 50/=; watakuwa wameniibia sekunde 6720 x 0.50= Tshs 3,360/= in this single transction.Nilipojaribu kupiga customer services kwa namba 100 response ni maelezo marefu ya huduma zao lakini hakuna option ya kuzungumza na mhudumu ili kupata ufafanuzi.VODACOM KINDLY CONSIDER THIS NOTICE AS A FORMAL REQUEST FOR EXPLANATION NY PHONE NUMBER IS 0756604720Watanzania wenzangu tujifunze kutumia counter za simu zetu ili kudhibiti huu wizi wa makampuni haya ya simu. NAOMBA KUWASILISHA

Hii mitandao ya simu ni wizi wizi wizi! Bado nalia na TCRA na Wizara husika. Mmelala wakati wananchi tunaibiwa. Hayo makampuni kodi yenyewe kulipa magumashi!
 
WATANABE looks like you have blocked the PM's. Will get someone to clarify this to you.
 
Last edited by a moderator:
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013 nilizimika kureset to zero counters za simu yangu ili kujua nitatumia kifurushi kijacho kwa sekunde ngapi. Nilinunua kifurushi cha siku 7 na kutumiwa sms kuwa nimepata sekunde 8400 toka Vodacom. Baada ya masaa 24 tar 28 Nov 2013 nilitumiwa sms kuwa kifurushi changu kimeisha na nilipokagua counters za simu yangu niligungua kuwa nimetumia kifurushi hicho kwa dakika 28 tu yaani sekunde 1680, hivyo Vodacoma watakuwa waneniibia sekunde 6720 in this single transaction. Kwa kuwa kifurushi cha sekunde 8400 huuzwa Tshs 4,200/= ikwa na maana ya kila sekunde senti 50/=; watakuwa wameniibia sekunde 6720 x 0.50= Tshs 3,360/= in this single transction.Nilipojaribu kupiga customer services kwa namba 100 response ni maelezo marefu ya huduma zao lakini hakuna option ya kuzungumza na mhudumu ili kupata ufafanuzi.VODACOM KINDLY CONSIDER THIS NOTICE AS A FORMAL REQUEST FOR EXPLANATION NY PHONE NUMBER IS 0756604720Watanzania wenzangu tujifunze kutumia counter za simu zetu ili kudhibiti huu wizi wa makampuni haya ya simu. NAOMBA KUWASILISHA
WATANABE ninatumaini maelezo umeyaelewa vyema.
 
Last edited by a moderator:
Usitegemee kujibiwa na hao mafisadi. Mi nshahangaika nao sana. Kama si mkoloni ananipa airtime ambayo ameingia mkataba na Voda, ningekuwa nshatoka Voda siku nyingi sana.

Uzuri hawajakulazimisha uwe nao, wameshakuambia KAZI NI KWAKO.

Mkuu umenipa maana nyingine ya hii slogan.
 
Katika kipindi cha wiki moja nimelazimika kuweka kuweka kifurushi cha Cheka Bombastik ya siku 7 mara 3, na ambayo huisha baada ya masaa 24. Iliponitokea mara ya mwisho jana tar 27 Nov 2013 nilizimika kureset to zero counters za simu yangu ili kujua nitatumia kifurushi kijacho kwa sekunde ngapi. Nilinunua kifurushi cha siku 7 na kutumiwa sms kuwa nimepata sekunde 8400 toka Vodacom. Baada ya masaa 24 tar 28 Nov 2013 nilitumiwa sms kuwa kifurushi changu kimeisha na nilipokagua counters za simu yangu niligungua kuwa nimetumia kifurushi hicho kwa dakika 28 tu yaani sekunde 1680, hivyo Vodacoma watakuwa waneniibia sekunde 6720 in this single transaction. Kwa kuwa kifurushi cha sekunde 8400 huuzwa Tshs 4,200/= ikwa na maana ya kila sekunde senti 50/=; watakuwa wameniibia sekunde 6720 x 0.50= Tshs 3,360/= in this single transction.Nilipojaribu kupiga customer services kwa namba 100 response ni maelezo marefu ya huduma zao lakini hakuna option ya kuzungumza na mhudumu ili kupata u. Ni kweli hata mimi tatizo kama lako limenipata. Niko airtel sasa.
 
Mambo ya Rostam hayo, hizo ndo mbinu zilizomuingiza Forbes acha aendeleze ili aingie Top ten...aahahahaa
 
Kwa 4200Tsh wanatoa sekunde 6000 badala ya 8400 walizokuwa wanatoa awali.....

Hata mimi inaniambia ni sec6000 tu na wala haichelewi kwisha! Wangekuwa waungwana na wanaojali wateja wangetuarifu mabadiliko ya muda wa bundle, ila kwa kuwa wanatuona mamburula hamna taarifa wala nini! Huu ni uhuni. Hamjali wateja wenu, customer care ni zero. Badilikeni, acheni usanii, achebini dharau Vodacom.
 
WATANABE looks like you have blocked the PM's. Will get someone to clarify this to you.
Kama wewe ni mhusika wa VODACOM kwa nini usitoe maelezo hapa kila mtu aelewe kuliko kukimbilia PM, maana malalamiko yameletwa jamvini. Waeleze watanzania namna gani hizo sekunde zinatumika.
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni mhusika wa VODACOM kwa nini usitoe maelezo hapa kila mtu aelewe kuliko kukimbilia PM, maana malalamiko yameletwa jamvini. Waeleze watanzania namna gani hizo sekunde zinatumika.

Mkuu,mimi si mhusika.
 
Yaani hakuna kitu kinaniudhi kama hii mitandao wanatuibia halafu hakuna hata wakuwauliza hii nchi wananchi hatujaliwi kabisa mimi mimeamia airtel baada ya voda kuwa magumash l
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom