Cheka astaafu Ngumi, arudi kuokota chupa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,186
103,704
Bondia Francis Cheka Ngumi Jiwe ametangaza kustaafu mchezo wa ndondi.

Hii ni habari mbaya kwa sisi wapenda ndondi. Francis ameamua kuachana na ngumi na kujiweka pembeni ili aendelee na biashara zake ikiwa ni pamoja na kuokota chupa biashara aliyokuwa akiifanya kabla ya kuwa star

Akizungumza na kituo cha ITv kwa masikitiko makubwa Cheka ameonyesha kukerwa na hujuma za baadhi ya wadhamini wa mapambano

Akizungumzia kashfa ya kumkimbia Dulla Mbabe,Cheka amesema mdhamini alikiuka makubaliano ya kumpatia 9m kabla ya mchezo badala yake alimpa 3m tu
 
Wamemalizana vipi na mdhamini?,kulikuwa na uzi humu amekamatwa?,hizo milioni 3 kazirudisha?,kwa kuuza lile pambano lake kule INDIA atakuwa ashapata msingi wa kuanzisha biashara yake..
 
na hii ya kufungiwa miaka 2 kutojihusisha na ngumi, na faini ya laki 5 ndio kaamua bola astaafu.
 
Back
Top Bottom