Chef na Mkaanga Chips Anaitajika

HR CONSULTANT

Member
Jun 7, 2010
76
95
Naitaji Chef mwenye uzoefu mkubwa wa kuchoma nyama za aina zote(hili ndio la kwanza) na mapishi aina mbali mbali pia.

Pia anaitajika mkaanga Chips mwenye uzoefu na utaalamu mzuri.

Tuma msg kwa 0743 319 304 nitakupigia kwa maelekezo zaidi.
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,368
2,000

Unapatikana wapi ili wadau wakuletee vijana wazoefu kwa kazi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,783
2,000
Unahitaji na vyeti au kujua kupika na kuchoma nyama inatosha?! Mshahara na stahiki zingine zikoje?! Mfano mshahara take home ikoje, kwa mwezi au kwa wiki, bima ya afya unalipia, na vipi nssf unapeleka?! Ni ajira ya kudumu au seasonal?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom