Cheetah kuanguka ndani ya gari la watalii masai mara kenya

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,829
2,000
Hahahahahahaha lol!!!! Hapo patashika nguo kuchanika lol!!!! Washukuru Mungu hakumrarua mtu!!!! Lazima matumbo yao yalikuwa joto...Dah!
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,048
2,000
gonga youtube kwa hii video then share halafu copy and paste whenever you want it.you will be good.

kweli nina simu mzee mbona suoni chochote?
nanona watu wana comment tu.mmenikata sitimu aluuu
 
gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,853
1,500
Mie ningekuwamo humo ningelala chini ndani ya gari hahahahaha lol!!!! Kama angeanza kurarua watu hawa waliokaa ndio angewapa kipaumbele cha uraruaji. :):)
Dawa ilikuwa kutulia tu usali sala ya toba na kama alokuwa na silaha karibu aitumie!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
15,103
2,000
Hakuna lolote huyo chui wa kufungwa nyumbani, hawa jamaa wana matatizo sana.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,829
2,000
Unaweza pia ukasali ukiwa umelala ndani ya gari lol!!! Kule India hivi karibuni nadhani ni cheetah yule alikuwa ameenda kwenye makazi ya watu sasa wakawa wanajaribu kumtega ili wamkamate kabla hawajanikiwa kumkamata kwa sekunde chache aliweza kuwararua watu saba, badala ya kutaka kumkamata wakaishia kumtandika risasi na kumuua. Hawa jamaa speed yao si ya kawaida wakiamua kushambulia.

Dawa ilikuwa kutulia tu usali sala ya toba na kama alokuwa na silaha karibu aitumie!
 
gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
8,853
1,500
Unaweza pia ukasali ukiwa umelala ndani ya gari lol!!! Kule India hivi karibuni nadhani ni cheetah yule alikuwa ameenda kwenye makazi ya watu sasa wakawa wanajaribu kumtega ili wamkamate kabla hawajanikiwa kumkamata kwa sekunde chache aliweza kuwararua watu saba, badala ya kutaka kumkamata wakaishia kumtandika risasi na kumuua. Hawa jamaa speed yao si ya kawaida wakiamua kushambulia.
Inawezekana kweli ulale bila huyo leopard kukushtukizia!maana akikushtukia tu ndo ushakuwa mlo wa jioni teh!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom