Mtemi chenge we mzee kiboko, hv ushapiga dili ngapi mpk sasa? ukipona na hili mrudie mungu wako mzee wa upako anakusubiri ukatubu, mama anakoku tibaijuka mwizi mkubwa ww umetufanya sisi watu wa kigamboni kuwa masikini sababu ya ufisadi wako, hatukopesheki banki hati za viwanja vya kigamboni bank hazikubali, viwanja vyetu haviuziki tunazidi kutaabika, ulaaniwe mwizi mkubwa ww na vizazi vyako vyote