Checkmate: Ndege mpya ya kivita ya Urusi inayoikosesha Marekani usingizi

Acha kuongeza maneno wapi wameandika USA kakosa usingizi kwa ndege ambayo imecopiwa kutoka kwenye ndege yake mwenyewe ya f35...hiyo ndege ni mapema kuisifia kwa sababu hakuna sehemu imeshawahi kuingia mzigoni wala parformance yake kiuhalisia haijajulikana kwa maana ya kuingia vitani lakini ndege zote zinasosifiwa leo duniani zipo mzigoni na zimepimwa kwa kazi vitani kuanzia f22 mpaka f35 lakini hiyo ya mrusi imeingia vitani wapi? Punguza mahaba mkuu ndege vita inapimwa kwenye uwanja wa mapambano sio showroom
😀😀😀😀😀 kumewiva
 
Zikisikia nchi inatengeneza nuclaer wanasem inatishia usalam wa dunia
Je wao wanatengenez hayo makombola ya nini???
 
Su-75 Checkmate sio ya kutisha sana hata. Waingereza wanakuja na 6th generation jet inaitwa Tempest, Wakorea kusini wanakuja na 5th generation jet, Wajapan wanaileta 5th generation yao. Hizi zote naamini zitaizidi Checkmate

China inazo stealth J-20 na kuna nyingine inatengengezwa na Shenyang kwa ajili ya Navy. Hawa wakizipa injini kamili nazo zitakuwa na maana kuliko Su-75

US wana F-22 na F-35 ziko kamilifu na Checkmate haiwezi zikaribia. Su-57 ndio itashindana nazo ila nayo haijapata powerful engine ya Izdeliye 30, kwa sasa inatumia AL-41 ambayo haifiki supersonic speed bila afterburners na haiko stealth

US pia wana NGAD (Next Generation Air Dominance) iko mbioni ilikuwa siri mpaka mwaka huu. Muhimu zaidi US wana advanced secure datalink kamili kuliko Urusi ingawa mpaka leo F-22 na F-35 haziwezi communicate ni mpaka zitumie relay nyingine mfano kupitia U-2 reconnaissance plane. Datalink inasaidia kushare target na guidance ya radar, etc. Bado wana projects kadhaa za stealth drones

Checkmate inaletwa kama stealth flani ya kuwauzia wateja wasio na uwezo wa kumudu gharama kubwa za stealth jets zilizoko sokoni, au wateja wasioruhusiwa kunua stealth zilizopo mfano Turkey ambayo inakufa na project yake ya stealth jet pia. Ikumbukwe Su-57 haijapata foreign customers na bado iko kwenye development, mpaka ifikie maturity sio leo. Checkmate wanadai mpaka 2022 utaanza initial production ila siwaamini Warusi huwa wana estimations za uongo. Checkmate ndio ndege pekee ya Urusi kwenye karne ya 21 iliyotengenezwa kwa lengo la wateja tu, hata jeshi lao halijui kama ipo

Possible customers wa Checkmate ni kama Algeria, Egypt na India lakini haitakiwi ichelewe. Na hilo jina litabadilishwa, wakati Sukhoi wanatengeneza Su-57 walikuwa wanaiita PAK-FA ila MoD ikaibadili jina ilipotoa order

Mambo ni mengi
This is what they say!
Screenshot_20210728-081635.jpg
 
Maneno mengiii na mbwembwe pia ni zana za kivita!! yaani vitisho vitisho!!! si unaona yule kamanbda wa Sadadam hussein alivo kuwa ana tishia kwenye tv!!! aliwahi sema ''majeshi yetu na vifaa hatari viko tikriti!'' wasijaribu mtu yeyote kutembea usiku kuuuumbe huko ndo saddam Hussein kajificha kwenye handaki! na wasinge mpata bila kusalitiwa na mpishi!
 
Zikisikia nchi inatengeneza nuclaer wanasem inatishia usalam wa dunia
Je wao wanatengenez hayo makombola ya nini???
fikiria tu hizo siraha azipate mtu km Mbowe!! au mkurya mmoja hivi kule Mugumu!! hivi mtakaa salama kweli ndg zangu? semeni ukweli tu! au tuseme mtu km jiwe awe nazo mweee!! sidhani km angekufa haraka........madaraka tu akakufuru na kukufuru piga watu hovyo hovyo! tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom