Check this out!!

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
124
Check this out........My town was supposed to get hit by hurricane Fay yesterday. So I was kinda excited that I will finally get to experience the hurricane flavor. So I was anxiously waiting for it to drop....only to witness the whole day gone by without even a single drop of rain....

What's up with these weather crews? Itabidi mambo ya kuwarushia mayai viza sasa...
 
hahahahaha season bado haijaisha lakini! wafanyabiashara hao.

Hawa washikaji bana myeyusho kweli...

Kuna movie moja ya Jim Carey (Bruce Almighty??)...jamaa alikuwa anatoa data za kinyumenyume kabisa kuhusu weather. Alikuwa anaweza kusema leo itakuwa "sunshine day with temperature kwenye 90's"....halafu baada ya muda mfupi winter la nguvu linatanda na snow ya kumwaga......wanakijiji kwa nini wasianze kumfurumusha kila akiibuka na data zake uchwara...lol
 
hahahaha au wale ma-weatherman wa kwenye TV za bongo hahaha na viswahili vyao vya kizushi, ati, "mvua za kadri...." LOL. Sikumbuki hata siku moja wale jamaa kupatia, unaweza kubeba mwamvuli na koti siku ya jua la utosi...

Ha ha ha halafu si unajua jinsi mwamvuli na koti vinavyokuwa karaha kubeba. Binafsi mimi huwa ni mbishi sana kubeba mwamvuli hata kama mvua inanyesha.

Lakini tusiwalaumu sana ma-weatherman wa kibongo...vitendea kazi vyenyewe in uchwara. Hivi kweli wanaweza ku-trace hazardous weather condotion kabla haijatokea?
 
Alafu ni kwa nini asilimia kubwa ya hizi hurricanes zinapewa majina ya kike..?
 
nadhani jamaa aliyegundua jinsi ya kutoa majina alikuwa anakwenda thru a nasty divorce au ndio mambo ya 'mother nature' LOL..i don't know!! maana hata hii ya kuchanganya na majina ya kiume imeanza hivi karibuni tena baada ya feminists kulialia foul!!

Hurricane itakayofuata itaitwa Gustav (dume), baada ya hapo ni Hanna (kike) na kama tunabusy season mpaka herufi ya mwisho basi itakuwa Wilfred...lakini season ipo slow, sidhani kama tutafika mbali kote huko.

Kuna jamaa mmoja anatokea Nu Orlinz nilikuwa naongea naye baada ya Katrina kuwatenda, akasema Katrina was the baddesst b**** of all time.....nilicheka sana,
 
hahahaha au wale ma-weatherman wa kwenye TV za bongo hahaha na viswahili vyao vya kizushi, ati, "mvua za kadri...." LOL. Sikumbuki hata siku moja wale jamaa kupatia, unaweza kubeba mwamvuli na koti siku ya jua la utosi...

Wabongo hawana lolote zaidi ya business bana....utasikia mawio na macheo....uuuuuwi wanaacha mlima oldoinyo watu wanakufa bila kutabiri kitu.......

ila leo nimemskia mwanahali ya hewa binafsi anataka kupewa ushirkiano na wadau ili afanye kazi vizuri...kasema mlima k'njaro hauyeyuki hata nukta moja..LOL....!!ii
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom