check namba zitengenezewe laini kama za simu

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
kama kichwa cha habari kinavyojieleza nilikuwa nilikuwa nawaza check number ziwe na mfumo kama wa laini simu

ili kuepusha usumbufu unaojitokeza benki mwisho wa mwezi
 
Daftari la mahudhurio kazini liboreshwe ili litumike kudhibiti wafanyakazi hewa
 
Back
Top Bottom