Cheche Mitaani: Tume yawanyoshea kidole NSSF! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheche Mitaani: Tume yawanyoshea kidole NSSF!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 22, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Licha ya ripoti kutoka na kuonesha wazi jinsi gani NSSF inahusika katika vifo vya watoto Tabora, vyombo vyetu vikubwa vya habari vimeogopa kusema kilichomo, well, Cheche tuko tayari kusimama peke yetu na kuiita ukweli kuwa ni ukweli...


  Jisomee:
   

  Attached Files:

 2. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji pongezi kwa kazi nzuri.

  Just one point:- between me and you hii picture ya/na huyu jamaa Mr. Mahmoud Rashid na huyu Miss. Jessy L. Fundi....nadhani umenisoma kigogo.

  Kwa mara nyingine pongezi kwa kazi nzuri.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Oct 22, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma vizuri kabisa...
   
 4. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2008
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MwanaKJJ NSSF inakuhusu nini? Hivi vifo vilikuwa ni mapenzi ya Mungu na wanadamu wameyatimiza tu bila kujijua. Sasa mambo ya kutafutana uchawi hayatawarudisha watoto hao. Wenyewe NSSF wala hawasumbuki na hiyo ripoti kwani walishajua itasema nini. Na kutoka kwa 'mkuu' wetu hakuna kiongozi yeyote mwingine wa serikali atakayewajibishwa kwani ripoti haina nguvu.

  Habari ndiyo hiyo!

  Asante.
   
 5. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpendwa Bi.Senti.50,
  Umeandika unalomaanisha au unamaanisha uliloliandika?
  Hivi kati ya waathirika (waliokufa) angekuwa ni mwanao au ndugu yako ungesema hivi? Ingekuwa ni wewe mwenyewe najua usingaliweza kusema.

  Samahani kama sikukuelewa.
   
 6. M

  Masatu JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Anaandika na kujijibu mwenyewe, in short karata 3!
   
 7. Matemu

  Matemu Member

  #7
  Oct 23, 2008
  Joined: Nov 29, 2007
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bi Senti 50 ulikuwa hutaki Mwanakijiji ashupalie jambo hili kwa mantiki ipi? Ndo maana tokea mwanzo tulisema kwa kuwa vifo hivi vimetokea Tabora na siyo Dar basi tukaushe tujifanye ni kudra za Mwenyezi Mungu tu.
  Bi Senti 50 shukuru Mungu ni Tanzania unapoweza kujikausha na kujifanya hauhusiki hata kama TUME IMETHIBITISHA kwamba unastahili kuwajibiswa kwa upumbavu wako.Tulitoa maoni mwanzo kuunga mkono kuwajibishwa kwa bwana DAU,Sasa tume imetoa RIPOTI kuzidi kuthibitisha hamtaki kuiamini sasa si kuna namna hapa??
  MWANAKIJIJI SHUPALIA TENA KWA NGUVU ZOTE UZEMBE KAMA HUU.Wananchi tunaona na kupima kama unashupalia maslahi ya wengi kwa hili.Na washukuru hatuna nafasi la sivyo wangekuwa Ukonga wakisubiri kesi zao kusomwa.
  Bi Senti 50 si wote wana uchungu na nchi hii laiti ingekuwa hivyo Tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Oct 23, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Matemu tuko pamoja na hili litaendelea kusogezwa karibu hadi tujue nini kinaendelea. Natamani nikae kimya kama kina Masatu hapa kusubiri wengine wafanye kitu nikosoe. Tatizo siwezi.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hili suala la NSSF na vifo vya watoto Tabora ni la kulikalia pembeni kabisa... ningejua wala nisingeligusa.
   
 10. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Unapenda tukuulize kwa nini au utatuleza bila hata ya kukuuliza...?
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  nimeshaeleza kwenye ile mada nyingine ya Bloggu mwenzangu wa Nigeria kukamatwa; iko kwenye siasa.
   
 12. H

  HomeBaby Member

  #12
  Oct 28, 2008
  Joined: Oct 5, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HI nataka utme hiyo report waliouto serikali kuhusu hao watoto

  Asante
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ni rahisi kuipata toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Abeid Mwinyihamisi. Usiniulize kwanini vyombo vya habari havijaichapa au hadi leo haijaweka JF ingawa ni ripoti ya hadhara! Najua majibu lakini hili la NSSF limenizidi kimo!
   
Loading...