cheap brand new hd sony bravia on sale

nahitaji hii kitu sana, lakini sina utaalamu nayo. vipi in usb port ngapi kaka, na ina cha ziada kipi au ina sifa zipi za pekee. weka bayana kama inaeleweka tarehe 3 sept niibebe. kama utaweza post hapa what are its uniqueness plz. poa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom