Cheap Android smartphones to claim nearly a third of world market by 2016 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheap Android smartphones to claim nearly a third of world market by 2016

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ndetichia, Oct 24, 2012.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  SAN FRANCISCO, Oct 24 — Demand from the Asia Pacific region, the Middle East and Latin America is fuelling the growth of the low-cost smartphone market as well as manufacturers’ use of the Android operating system.

  [​IMG]Because it’s open source, Android is the perfect operating system for building low-cost smartphones for emerging markets. — Picture courtesy of ©Android

  Low-cost smartphones look to be a key driver of spreading the technology and of bringing mobile connectivity to users worldwide. According to the latest figures from NPD Group released on Oct 22, shipments of sub-US$150 (RM459) handsets has been doubling year-on-year since 2010 and the trend looks set to continue until 2016, when shipments are expected to hit 311 million. Demand is being driven by the Asia Pacific region (60 per cent of shipments) but growth is also occurring in the Middle East and Africa, Latin America and Eastern Europe.
  “Most mobile phone subscribers around the world can’t afford to spend more than US$200 for a smartphone, on top of their service plans,” noted Shawn Lee, Research Director at NPD DisplaySearch.
  “Low-cost smartphone manufacturers create these new products quickly without much investment, which has allowed them to extend their telecom subscriber base to emerging regions.”
  And as this growth in low-cost handset continues, so will the use of Google’s Android as their operating system.
  As it is open source, it is the ideal operating system for entry-level phones.
  Sub-$200 Android phones currently account for 2 per cent of total worldwide smartphone shipments.
  However, by 2016 low-cost Android phones alone could account for up to 29 per cent of global smartphone shipments, or the equivalent of the entire worldwide smartphone market in 2010.

  sosi — Reuters
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  dead platform kulikua hamna open os nyengine ndo mana manufacture walikua hawana choice ujio wa wp8 na jolla utawashusha sana
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  wp8 imechelewa treni ishaondoka stesheni chief wacha kushabikia kesho kutwa microsoft wanaevent na imeshadoda apple leo wamefunga kazi wamereliiiz kitu cha ipad mini babu kubwa tusubirie tuoni watu wakipiga mstari tarehe 26 ndo kinaingia sokoni na android wapo mbali sana mpaka wp8 iwafikie siii leo alafu nyingi zitakuwa expensive zitachota vumbi kwenye maduka tuuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hv cheaf kwan wp8 n open source piaaaa? Then jolla watatumia meego au wana os nyngne? Na pia kwan meego na maemo n open source piaaaa
   
 5. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kukazana kote na Lumia sjui WP8 lakini holla!! Nokia Bibi kizee',,,


  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio unamchosha kabisa chief aka mzee wa nokia
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Android wapo juu,
  wp8 sidhani kama watakuja na jipya sana!
   
 8. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  heheee Kaazz kwake',,,
   
 9. Rashdind

  Rashdind Senior Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  kwenye iyo graph naona nokia,apple na samsung vp kuhusu THE BLACKBERRY aisee?
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  Sasa why unafananisha ipad na wp8 hapo ni sawa unafananisha gari na meli havilingani wp8 ni simu os wakati ipad ni tablet.

  Ipad wa kumfananisha nae ni suraface (i hope umeona uzinduzi wake). Surface tablet imeuza pre order zote za marekani ndani ya siku (apple nyie sku 3).

  Ipad haina uhai mbele ya surface tablet maana ipad ni simu yenye screen kubwa (ios haina nguvu) wakati surface ni hybrid ya laptop os na tablet os na ndo mana inarun desktop app.

  Labda apple waanze toa mac-tablet hapo watakimbizana na microsoft.

  Imagine tablet ina processor ya i5 na ram 4gb hivi huon kama graphic card za nvidia we huon kwamba hili ni funiko? Ipad zilipendwa mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  Wp8 sio actually open source lakini nayo ipo kwenye ecosystem. Inauzwa dola 20 hadi 30 kutegemea na device.

  Jolla os yao inaitwa sailfish na ni part 2 ya meego. Watu wengi wanaidharau but meego ndio os bora ya simu kwa sasa hasa kwa sifa ya multitask so hio november tunasubiria uzinduzi wake. Na itakua open source
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  Miguu inatetemeka eeh, mtoto hajazaliwa tiyari unasema huyu mtoto atakua mbaya.

  Wp8 haijazinduliwa inazinduliwa tarehe 29 na hapa hatuongelei nokia tunaongelea os kama wp8 na android.

  Ona samsung ativ ina 1.5 ghz sawa na samsung galaxy s3 we huoni kua android ana kazi? Same device 2 os? Kama wp8 ni mbaya why watoe device bora?

  Htc 8x ina front camera 2mp best front camera kuliko simu zote duniani na ni simu ya wp8 upo brakelyn?

  Lumia 920 unbeaten kwenye kila kitu ni simu ya wp8 hizi high end device zote ni za wp8.

  so eka akilini mwako hakuna graph wala statistic za wp8 mpaka sasa maaana haijazinduliwaaaaaaaaaaaa
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwenye hizi mambo RIM huwa hawawekwi kutokana hawana tofauti na wengine na promo zake naona bado sana sio sawa na hawa kina android..
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hee naona WP8 ikitoka itakuwa balaa mara tiles view mara sijui nini ngoja tuone..
   
 15. i411

  i411 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Sasa chief unajifanya umesahau simu zote za nokia na sumsung zinapambanishwa na iphone tuu nabado inatishaaaa wateja wake wanarizika nayo kinoma.
   
 16. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red mbona husomeki! 1.5GHz ya Samsung Ativ inaendeshwa na Dual Core Processor wakati S3 anaskuma Quad Core Processor!! Tofauti ya spidi kama twice.
  Mwenzenu iPhone 5 anatumia (Triple-Core Graphics) kwenye GPU yake wakati hiyo lumia imeangukia Adreno 225, Display ya kioo ya iPhone 5 LED-backlit, camera ya iPhone 5 hapo nokia hagusi hata kidogo,,, hata waivundike hiyo wp8 waitoe mwakani hakuna anayeisubiria kwa hamu kama inavyokuwa kwa IOS au Android OS mpya! nokia washaprove failure kwenye game!!
   
 17. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  what?????? have u seen lumia 920 camera in action???? it went against iphone 5 head to head and iphone camera got left in a dust stumbling!! the videos and pics on iphone were a joke!! colors were distorted,blurry image when taking a video while walking (thats where HIS comes to play) 1.it uses HARDWARE IMAGE STABILIZATION 2.PUREVIEW TECHNOLOGY availble in 808 3. IT USES CARL ZEIS Sensors, i could go on forever !! nenda engadget.com uone hyo camera test. Best smartphone camera are available only in Nokia devices. And lumia is best in every way possible over iphone 5!
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  usiisifie processor ya iphone kwa sababu imetengenezwa na samsung na ina power ya 1.2 ghz so ni old processor kwa jina jipya ifixit wameifungua iphone na kuona hio processor na thamani ya iphone 5 ni 200 usd

  Anhaa graphic twende hapo chini

  Display resolution and PPI

  -iPhone 5: 1136 x 640 and 326PPI

  -Lumia 920: 1280 x 768 and 332PPI

  -Lumia 920 wins: 26% better resolution, 2% better
  PPI

  Display size and technology

  -iPhone 5: 4-inch and LED IPS

  -Lumia 920: 4.5-inch and LED IPS

  -Lumia 920 wins if you view a bigger display as
  better, kama unapenda screen ndogo iphone kashinda

  Display response time

  -iPhone 5: average 23 milliseconds

  -Lumia 920: average 9 milliseconds

  -Lumia 920 wins using PureMotion HD+ making it
  2.5x faster

  na bado lumia ina super sensitive screen simu ya kwanza duniani kua na capative screen inayogusika na kila kitu uma, kijiko kucha.

  So unapoongelea graphic kabla kuja processor ya graphic consider hizo factor hapo juu

  Tukija camera utachekwa maana nokia haijawhi kupitwa camera ukiwaskia fan wa android kila siku wanatamani nokia ya android kwa sababu ya camera na maps
  Camera ya nokia inavitu vingi sana

  -optical image stabilization ambayo huondoa mitikisiko ukipiga picha mfano unapiga picha mikono ikitetemeka picha inatoka vibaya so kwa lumia 920 tatizo hili sahau
  -low light. Sehemu yenye mwanga mdogo nokia hutoa picha clear bila flash
  -cinemagraph. Hii ukichukua video unauwezo wa kusimamisha vitu flan visimove kwenye video na vyengine vimove. Mfano unachukua video we unapika na mbwa pemben anacheza unaweza stop mbwa ascheze ikawa unaonekana we unapika tu
  -floating lens lumia 920 lens yake ya kamera inafloat haijakua placed sehemu so better quality

  Hebu ona demo hii ya picha
  [​IMG]
   
 19. i411

  i411 JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hahhahhhaa chief kuzingatia hivyo vyote ulivyo sema bado android ndo anaaongoza na nokia iko nyuma sana wanauza vitendea kazi sasa kama ningekuwa na hisa huko ningeuza fasta. Still apple maintain the best quality devices out there for any manufacture to compare with becouse it just works......Software na simu inatengenezwa na apple just for one iPhone na siyo kuunga unga na kudilute software kufit kila zagazaga
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,055
  Trophy Points: 280
  Are u sure? Huoni ni nokia against the world?

  Nokia ndo anatengeneza hardware za quality kubwa kushinda iphone au taka taka zozote unazozijua wewe no need ya kwenda popote ingia mtaani tu waulize watu simu gan inadumu sana?

  Na ukitaka prove za kisomi zaidi pia zipo
  1) nenda youtube kaaangalie video za nokia lumia 900 wanavotumia screen yake kugongelea misumari, even general the destroyer (jamaa maarufu wa uingereza) katika tutorial zake sku zote anatumia lumia 900 yake kugongelea tutorial kwenye ukuta.
  je nani anatengeneza screen za nokia? Jibu ni nokia. Why najibu nokia? Sababu technolojia ya hd+ mpaka sasa duniani anayo nokia tu.

  2. Material anayotumia nokia ni polycarbonate ambapo rangi na material ya cover yanachanganywa pamoja tofauti na iphone au android yoyote ambao wana cheap plastic na alluminium ambazo ni scratch friendly.

  Mkuu ngoja naja na iphone 5 na vitu vyakr nkuoneshe
   
Loading...