Chavda’s 3bn/- case drag for 14 years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chavda’s 3bn/- case drag for 14 years

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Oct 27, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Nimekutana nayo hii kule Daily News:

  Source:
  By: FAUSTINE KAPAMA
  Daily News; Monday,October 27, 2008
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Hawa Chavda junior na senior ni ndugu wa tumbo moja toka nitoke. Hizo kampuni zote ni za familia. Baada ya kupata hizo fedha wakala deal mdogo mtu ahamishe fedha zote katika amali zake na kutorokea Uingereza. Kaka mtu ajifanye hakujua transfer of Dees kwa vile alikuwa Uingereza hivyo afungue kesi ya madai dhidi ya mdogo mtu. Kaka mtu ni raia wa Tanzania anayeishi london na mdogo mtu ni raia wa Uingereza anayeishi Tanzania.
  Licha ya kupingwa PI jama anaingia nchini na kutoka anavyojisikia.
  Jamaa wenzetu wajanja wana passport mbili au zaidi.(nasikia hata Rostam) Hawana haraka kesi iishe kwa vile hizo fedha za DCP wamekopeshwa ili waendeleeze mashamba makubwa waliyopewa bure na serikali. Pesa wamechukua, mashamba wameyauuza na kucheza kadeal ka mahakama.

  DCP ni kama EPA wahindi wamefaidika sana na imemalizika kisailenser. EPA ilibumburuka baada ya kuwepo waswahili. Kamaa ingekuwa wahindi watupu isinge shtukiwa.
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hawa chavda,bado wapo,na bado kesi inaendelea,cannot remember well,but wameshakuwa headlines miaka ya nyuma.SASA kweli tunaweza kubisha kwamba tanzania sio kichwa cha mwendawazimu,at will kila mtu ananyoa this head.God bless tanzania
   
 4. H

  HARVESTER Senior Member

  #4
  Jul 12, 2015
  Joined: Apr 25, 2013
  Messages: 162
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa bado wapo?
   
Loading...