CHAUMMA chapata Usajili wa kudumu,Ben Saanane acheni Kukivuruga sasa Chukueni Virus wenu

Confederate Spy

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
426
144
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-

Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA

MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni
 
Kwani Ben Ni mwanachama wa CHAUMA? Waulizeni kina Shonza au CCM Lumumba
 
vinakuja na kuondoka kimoja kimoja
hata ppt maendeleo nacho kilipandikizwa virusi na Ben Saanane?
 
Last edited by a moderator:
Chama kipya hata hakijatangaza sera zake kinaanza kulalamika.

Mie ntakikumbuka kama chama cha kulalamika kwa kuwa habari ya kwanza niliyosoma kuhusu hiki chama ni ya kulalamika.
 
Jana tu mmezaliwa bado mnanuka maziwa leo mmeanza migogoro mhh! yangu macho.
 
Ben Saanane mkali!!!!! du naku-admire! unafaa kuwa chief spy officer wa nchi ya tanganyika! naona kila sehemu wanakugwaya mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Ni nani huyu Ben Saanane hata watu wanamuogopa kiasi hicho? Mbona huyu mtu wala hata sio kiongozi ila naona watu wanamuandama kweli kwa lengo la kumchafua kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
Ni vema ungefafanua mambo haya;

1/Vyanzo vyenu vya mapato ni vipi na kwa namna gani vimehujumiwa?

2/Ben Saanane alikuwa kama nani mpaka awe na nafasi kubwa ya kumiliki kila access ya CHAUMMA, yaani kuanzia taarifa, watu mpaka pesa vyote Ben Saanane alikuwa na mamlaka nazo?

3/Kwanini kuendelea kutaka kutumia hiyo ID account ya JF kama hamna mamlaka nayo, kwanini usifungue ID mpya?

4/Hamjui kuwa ni kinyume cha sheria za JF kuverify/Disclose Actual owner wa ID ya mtu?
 
kila mahali ni ben na sumu yake
Ni lazima jina la Ben Saanane liwaume kila likitajwa maana aliharibu mipango yenu yote kwa kuwaanika hadharani masalio wote na kisha mkakimbizwa kwa aibu BAVICHA.

Sasa mmebaki kutumika kama Condo.. za kiume na CCM.
Na bado Ben Saanane ataendelea kuwalaza njaa mpaka mkome. Njaa iliwazidi mpaka mkarudi kula matapishi yenu yanayoitwa CCM.

Mnapenda vya bure sana, mnataka mlishwe, mnyeshwe, mvishwe nk na mwanamme, sasa cha moto mlikipata na mtaendelea kukipata sana.

Chezea Ben wewe!!!
 
kila la khery kueleka kaburini. Vp kuhusu Ben anawanyima usingizi kama ilivyo kwa dr.w.slaa.Ila poleni sana:msela:
 
Ben Saanane huu ni mwamba aisee! Maana kila salia linalia juu ya huyu jamaa sasa hadi CHAUUMA Ben kumbe ndo kaiua basi ni kazi nzuri sana maana sisi hatutaki vyama vya kipuuzi vinavyopandikizwa na MICCM na MICUF.
 
Last edited by a moderator:
Jamani tuangalie na vyama vya kujadili, Chauma chaumaje hiki? Au cha kijiko?kuna vyama vikitajwa mpaka mtoto mdogo anaacha michezo anasikiliza, chama kama CHADEMA(pipo pawa) na CCM( chama dume-lakini wanatuhumiwa kwa ufisadi)

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-

Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA

MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni

Hapo mbele ya CHA ukiweka K chama kitakuwa na jina zuri!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom