Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 144
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-
Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA
MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni