CHAUMMA chapata Usajili wa kudumu,Ben Saanane acheni Kukivuruga sasa Chukueni Virus wenu

Chama kipya hata hakijatangaza sera zake kinaanza kulalamika.

Mie ntakikumbuka kama chama cha kulalamika kwa kuwa habari ya kwanza niliyosoma kuhusu hiki chama ni ya kulalamika.
Kweli mkuu hata sera zake haijazitangaza wameanza kulalamika,waangalie wasijetumika kama maliberals..
 
Raha ya ben muulizeni dada mmoja hivia anaitwa Edda Kishimba yupo wizara ya mambo ya nje sijui jamaa alimfanya nn aisee maana kila ben akitia mguu mahali dada anae yaana yupo tayari hata aondoe ile integrity yake kwa ajili ya kumsakama ben mpaka akawa tayari kumpa shigela ili tu wamfanyizie ben lakn wapi dah beniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Huyo kijana muambieni aache umalaya.Aaachie ID ya Watu.Kwa mfano kuna mwanamke mmoja wa Zanzibar ndio alimtumia kuivuruga CHAUMMA Zanzibar na pia migogoro mingine kanda ya Ziwa.
 
Kama kuna mtu wakati huu anaanzisha chama kipya ni taahira, ngome inogile unakuja na mchama mpya ili ufanye nini? tunataka vyama vipungue hadi maximum 5 tu.
 
CHADEMA KUWEN MAKINI NA HAWA VIRUS WALIOJPENYEZA KWENYE CHAMA CHENU JUZI ZITO KAMSFIA JK..BEN SAANANE KAMSFIA MEMBE leo anatajwa CHAUMA KUWENI Makini CDM Mna virusi
 
CHADEMA KUWEN MAKINI NA HAWA VIRUS WALIOJPENYEZA KWENYE CHAMA CHENU JUZI ZITO KAMSFIA JK..BEN SAANANE KAMSFIA MEMBE leo anatajwa CHAUMA KUWENI Makini CDM Mna virusi

Ulitaka wakusifie wewe? Mtu yuko huru kumsifia mtu yeyote, lakini ni upumbavu kusifia chama kama ccm.
Kikwete alisifiwa kama Kikwete ------ wa bagamoyo, siyo kiti chake cha urais.
Kikwete kama Kikwete he is good boy, mwenye huruma, mchapakazi hasiye na hasira, anacheka hata kwenye serious issues. That is KIKWETE. lakini urais hawezi wala hafai hata kuwa manager wa kiwanda.
 
mnatoa tu majina bila tafakuri? mtakua mnaumwa na chama chenu chauma kila sehemu
 
Chama kinamwogopa Ben Saanane, a one man army! Kitaweza kupambana na jeshi zima? Ulaji tu huo
 
Last edited by a moderator:
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-

Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA

MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni

Ben lazima atakuwa FISADI !!! kwa nini akihujumu chama changa kama CHAUMMA? Inawezekana kabisa kashastuka kwamba kitatishia maslahi yao hivyo wanamtumia kuhujumu. Au naye ni FISADI!
 
Hata mi namkubali sana huyu dogo bt who are ben by the way?
mm mwenyewe nimemjulia huku jf na gazetini kipindi cha kugombea uenyekti wa cdm, nadhani ilikuwa gazeti la rai km nakumbuka vizuri! Ben Saanane njoo huku unaitwa na member mwenzio!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa CHAUMMA wanapanga kuchukua hatua za kisheria.Hawezi kupokea taarifa hata za siri wakati sio chama chake
 
Mtu akitaka kusimama akatumia mgongo wa mtu mwingine hatasimama mwenyewe kamwe! Chaumma wanataka kutusadikisha kuwa hawawezi kusimama wenyewe hadi watumie majina ya watu. Huu ni udhaifu. Hawatasimama.
 
Huyo kijana muambieni aache umalaya.Aaachie ID ya Watu.Kwa mfano kuna mwanamke mmoja wa Zanzibar ndio alimtumia kuivuruga CHAUMMA Zanzibar na pia migogoro mingine kanda ya Ziwa.
Hivi hilo lina uhusiano gani na usajili na migogoro yenu ndani ya chama hicho kipya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom