CHAUMMA chapata Usajili wa kudumu,Ben Saanane acheni Kukivuruga sasa Chukueni Virus wenu

Ben Saanane huu ni mwamba aisee! Maana kila salia linalia juu ya huyu jamaa sasa hadi CHAUUMA Ben kumbe ndo kaiua basi ni kazi nzuri sana maana sisi hatutaki vyama vya kipuuzi vinavyopandikizwa na MICCM na MICUF.

beni ni kijana mwana siasa msomi anae juwa kujenda na kupambanua hoja, ni kweledi na mzalendo wa kweli....sio hao mizoga kila kukicha ni kujadili kija wa watu
 
Last edited by a moderator:
hiki chama mbona kinaonekana kina mapandikizi wa ccm kupata usajiri mnaanza kujionyesha mko upande gani. Hamfai rudini mkajipange upya.
 
hiki chama mbona kinaonekana kina mapandikizi wa ccm kupata usajiri mnaanza kujionyesha mko upande gani. Hamfai rudini mkajipange upya.

Tunawajua waanzilishi wa CCJ ambao walisaliti chama cha Mapinduzi. Nani waanzilishi wa CHAUMA? Yule bwana mwenyekiti kama vile anatoka Tabora au?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tangu wanaanza mchakato wa kusajiliwa mpaka wanapata usajili hawakufanya maandalizi ya kujua wanakoelekea?Huu ni uhuni na kupakana matope maana haiwezekani mtu usubiri mpaka upate usajili wa kudumu ndio uanze kutafuta ID hapa JF,jina la Ben limekuwa kikwazo kwenu na mbinu zenu chafu zote anazipangua ndio maana hamuachi kumuandama.
 
Naomba unitajie SAFU ya viongozi wa JUU wa CHAUMMA.

Pili ninaomba katiba ya CHAUMMA
 
Chama njaa hiki dk ya kwanza tu washafungwa goli kumi. Badala ya kuja na njia za kutatua matatizo yao wanaibuka na zigo la lawama.
 
There is only one thing that crosses my mind."This Ben Saanane must be a very SMART guy". Why always him?
 
Jamani tuangalie na vyama vya kujadili, Chauma chaumaje hiki? Au cha kijiko?kuna vyama vikitajwa mpaka mtoto mdogo anaacha michezo anasikiliza, chama kama CHADEMA(pipo pawa) na CCM( chama dume-lakini wanatuhumiwa kwa ufisadi)

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
na CUF (....)
 
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-

Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA

MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni
da wameungana na wale ambao kila kitu wanasema chadema mpaka inafika hatua mtu tumbo likipungua" chadema ni chanzo "sasa CHAUMA kimepata sababu ya kushindwa" Ben Sanane"
 
Raha ya ben muulizeni dada mmoja hivia anaitwa Edda Kishimba yupo wizara ya mambo ya nje sijui jamaa alimfanya nn aisee maana kila ben akitia mguu mahali dada anae yaana yupo tayari hata aondoe ile integrity yake kwa ajili ya kumsakama ben mpaka akawa tayari kumpa shigela ili tu wamfanyizie ben lakn wapi dah beniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Juzi tarehe 4 niliongea na kiongozi wa juu wa CHAUMMA kuhusu chama chao kipya kilichosajiliwa.Alinieleza haya yafuatayo:-

Chama cha CHUMMA kimepata usajili wa kudumu baada ya kazi nzito na changamoto kadhaa ambazo nyingine zilisababishwa na maadui zetu kisiasa.Kuna baadhi ya Mamluki waliopandikizwa ndani ya chama hiki na tutawabini tu kadiri muda utakavyosonga.Ben Saanane amepandikiza Virusi ndani ya chama hiki na kutuingizia migogoro ya ajabu ajabu.Hao wanaompatia Taarifa kwa sasa na maelekezo anayowapa tumeshabaini mmojawapo tunamchunguza au ikiwezekana atatimuliwa.Ni muda sasa ID ya CHAUMMA JF bado ameishikilia yeye na wenzake na hata Password hataki kuitoa.Taarifazote ambazo wadauwanatuma kwenye Inbox ya CHAUMMA bado Ben anazi-access kwa hiyo ni vyema mkaleta taarifahizo moja kwa moja makao makuu kwa katibu au Mwenyekiti basi.Wale viongozi wa mikoani wanaotumika na akina Ben na baadhi ya viongozi wa vyama siku zao zinahesabika.UPINZANI IMARA UTAJENGWA KWA PAMOJA.VYAMA VINGINE VILIJARIBU KUHUJUMU HATA VYANZO VYETU VYA MAPATO KWA MBINU ZA KIJASUSI.TUNALIPELEKA WAPIHILI TAIFA? KARIBUNI CHAMAUMMA.NI CHAMA DARASA

MYTake: Ben wape Password ya ID yao.Acheni kuivuruga CHAUMMA kwa kutumia hao mamluki mliopandikiza huko.Wapinzani shirikianeni

ben wapoteze kama kawa......
 
CHAUMMA? Si bora mngejiita waliberali tujue moja; kama wenzenu waliopo lumumba na wengine wako buguruni na pemba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom