Chaula bus, kampuni ndogo yenye huduma bora, kwangu ni bora 2020

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,258
Kwa Mara ya kwanza tangu yapotee mabasi ya Scandinavia Leo nimeenjoy kusafiri kutoka Iringa mpaka daresalaam baada ya kupanda gari za hii kampuni kwangu nawapa maksi za Juu hususani customer care yao

Customer care,hii ndo imenifurahisha kwa kweli wahudumu ni wakarimu na muda wote wapo karibu na abiria kusikiliza kama kuna tatizo.

Achilia mbali mambo ya bites na vinywaji walivyogawa njiani maana najua yapo makampuni kadhaa yanatoa huduma hii ila pia nimeenjoy jinsi gari ilivyo yaani inapita kwenye mabonde husikii chochote tofauti na gari nyingine(kuna siku nilipanda gari inaitwa nova nilijuta).

Kufika morogoro kutokana na kihali cha mvua wahudumu wakatushauri tufunge vioo hapo ikawa full AC nadhani hawakuwasha kuanzia iringa kutokana na baridi ila tulivyowasha moro ni mpaka dar.

Wenye akili fupi watasema tangazo lakini nawashukuru management nzima ya haya magari naomba muendelee hvyohvyo,wengi huwa wanabweteka baada ya kupata maendeleo nawashauri muendelee na ubora mlionao pia makampuni mengine ni vyema mkaiga kwa hii kampuni.

Daima ntaendelea kutumia usafiri wenu hongereni
 
Ndenjela hivi bado ipo, ilikuwa na huduma nzuri sana kipindi kile
 
Sawa manager wa chaula..japo mm nawasifu tu kwa safar zenu iringa to mby..nmeanza kupand tokea 2005 ..mnajtahd.consisstency..na mwendo..nauli pia n fixed kwa mid mrefu sn 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mara ya kwanza tangu yapotee mabasi ya Scandinavia Leo nimeenjoy kusafiri kutoka Iringa mpaka daresalaam baada ya kupanda gari za hii kampuni kwangu nawapa maksi za Juu.

Customer care,hii ndo imenifurahisha kwa kweli wahudumu ni wakarimu na muda wote wapo karibu na abiria kusikiliza kama kuna tatizo.

Achilia mbali mambo ya bites na vinywaji walivyogawa njiani nimeenjoy jinsi gari ilivyo yaani inapita kwenye mabonde husikii chochote tofauti na gari nyingine(kuna siku nilipanda gari inaitwa nova nilijuta).

Kufika morogoro kutokana na kihali cha mvua wahudumu wakatushauri tufunge vioo hapo ikawa full AC mpaka dar.

Wenye akili fupi watasema tangazo lakini nawashukuru management nzima ya haya magari naomba muendelee hvyohvyo,wengi huwa wanabweteka baada ya kupata maendeleo nawashauri muendelee na ubora mlionao pia makampuni mengine ni vyema mkaiga kwa hii kampuni.

Daima ntaendelea kutumia usafiri wenu hongereni
Hilo bus A/C mbk mvua inyeshe na vifungwe vioo ndipo iwashwe na wakati mabus mengi tu siku hizi full kiyoyozi mbk mwisho wa safari mfano tungi bus dar mbk igoma mwanza full kiyoyozi na bonge la uduma.ok bwana mnyaru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom