sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,131
- 4,249
Dodoma imebuma sasa mwendo ni Chato,hata hivyo sijaelewa mantiki ya kuweka kila kitu Chato.Hasa wakati miradi ya kujenga Mji mkuu Dodoma,Bwawa la Nyerere, SGR,Daraja la Busisi,bado haijakamilika.
Bado Chato ina wakazi wachache mno kuweka shughuli za kiserikali za kikanda hapo.
Je kwanini tusijenge viwanda vya kufua chuma huko Liganga vitakavyotuwezesha kujitosheleza kupata chuma ya kutosha kufungua viwanda vingi vya mazao ya chuma?
Kwa mwendo huu kilichobakia Chato ni kuunganishwa reli ya SGR kutokea Isaka kwenda Rwanda na Uganda.