Watu wanakuwa wengi kwa Magufuli kwa sababu huwa wamekusanywa kwa nguvu zote. Upinzani una nguvu kubwa Tanzania. Kwa miaka 5 CCM imefanya siasa peke yake na kujiaminisha kuwa 2020 upinzani utakuwa umekufa. Kinyume chake CCM inataabishwa.Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.
Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).
Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.