Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Amebakiza siku chache za kujichukulia maujiko tarehe 29 President elect JPM ndio atakuwa habari ya Tanzania asikose kuhudhuria hafla ya kula kiapo.

October 28 kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
We ulishawahi kupigwa bomu wewe?? Tunasubiri hiyo oct 28 tukuone utakavyolinda kura! ovyo kabisa wanandoa nyie
Wivu, yaani Robert Amsterdam unampenda hadi unakuwa chizi.

Kura tunapiga na kuzilinda, kama mnapendwa kwa ajili ya kujenga flyover na kununua ndege wasiwasi wenu wa nini? Mtuache tuwalindie ushindi wenu, mashoga wa kujificha
 
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Kwani hela zilizojengea huo uwanja ni za mama yako Hadi roho ikuume hivyo?watz wote tumejenga kwa kodi zetu japo hatukumwambia ajenge kwao
 
Watu wsmesombwa kutoka BARIADI halafu unasema chato ni ngome ya cdm
Kinachofurahishwa ccm mumebananishwa kama panzi munashindwz hata kujitetea. Magufuli hsawamtaki chato wamemshuhudia akisababishwa vifo vya pinzani wake utekaji na uporaji wa fomu mazoea ambayo alikuwa nayo kwa miaka 20 sasa ameyaleta nchi nzima mwa.bie uchaguzi huu analo la kujifunza
 
Endelea kuishi mpaka uwe kizee kama kuna siku utaona maisha ni rahisi,tembea nchi yoyote duniani uwezavyo kama utakuta kuna nchi watu wanaishi kirahisi

Nyanoko
Wewe umezaliwa miaka 5 iliyopita?? Manake miaka 10 ya JK,miaka 10 ya BM ,miaka 10 ya mzee Ruksa na miaka 24 ya Mwl hatukushuhudia hii hali.
 
Ulitaka ajenge kijijini kwenu?
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele. You are the next victim, bitch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom