Tetesi: Chato ukiingia au ukitoka unapimwa Corona big up mkoa wa Geita!

Status
Not open for further replies.

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,887
Chato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona

Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana

Kwanini miji yote isiwe sawa tu? Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi mzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana Tanzania yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda

Sent using Jamii Forums mobile app


Update:
Hii habari ni ya kweli 100% kwani hata wale wote waliohudhuria ile press ya juzi walipimwa zaidi ya mara nne kila mmoja!
 
Pilato yupo uko ana wachora tu
the_originaleast-20200422-0001.jpg
 
Chato wameweka simple lockdown ukiingia au ukitoka lazima upimwe Corona

Yaani chato ukaguzi unafanyika kila wakati watu wanapimwa kila waingiapo ndani ya hicho kijiji ambacho ni kama mkoa wenye green light japo mara nyingi huongezea punda tu maana chato umasikini ni mkubwa sana

Kwanini miji yote isiwe sawa tu?Why chato papendelewe kiasi hicho?Japo ni uamuzi nzuri ila ilitakiwa iwe imefanywa nchi yote maana tz yote sisi ni sawa na hiyo italeta taharuki ya ukabila na ukanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa taarifa. Kweli tumekosa na tunatubu kwa makosa ya mwaka 2015. Kwanza tulitegemea kuongozwa kutoka Dodoma sana imekuwa tunaongozwa kutoka chattle. Pili yanaendelea kufanyika yale mambo aliyopinga sana baba wa taifa, udini, ukanda,ukabila, nk Juzi tumeona jinsi teuzi za maprofesa wawili mpigo na wengine wengi wote wakitokea kijijini hapo. Tatu tulitegemea kama kuna jambo lenye manufaa kwa taifa kuhusu lockdown basi lifanyike nchi nzima. Jamani upendeleo hadi kwenye lockdown?! Mtu anaamini some kind of lock down works lakini kwa jinsi alivyo na upendeleo basi anakwenda kufanya lock down kwake tu anaacha kwingine bila utaratibu huo. Kama anaamini lockdown inafanya kazi basi atangaze nchi nzima na pia akae kwenye makao makuu ya nchi anapotegemewa kuwepo. Kweli tumekosea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom