Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
What happened? You’re suppose to tell me don’t I assume I know.What happened to JPM when was in Singida?
What happened? You’re suppose to tell me don’t I assume I know.What happened to JPM when was in Singida?
Wala sishangai, bali ningeshangaa kama haya yasingetokea huko Chato.
Mkuu tuna taabu moja ambayo haitusaidii, Alivyofanyiwa Lissu haipendezi, lakini mgombea wetu pia kuna tuna akili timamu tumshauri lugha za kutumia, kumdhihaki, kumtwaza utu wake, kumdhalilisha nyumbani kwake haya aliyataka.
Na bahati mbaya usukumani yote ameomba kura kwa lugha anayo ijua ya kueleweka? Thre is something he was trying to achieve , the words was direct provocation.
Lissu atakuwa anatafuta kitu kingine sio kura. Mbona kote aliomba kura kwa ufasaha?
Hebu acha uzushi wewe! Hebu tuwekee hizo kauli za Lissu akiwa chato unazodai zilikuwa ni provocations.
sidhani kama kuna mtanzania anaweza kufanya fujo kwa mgombea...achilia mbali kundi la watanzania.Huenda ikawa kama unavyowaza,na kama ndivyo basi viongozi wa namna hiyo hawawezi kutufaa kwa namna yoyote ile.
Utaniponza buree, mimi ni verified member, nisi shangae jamaa mbele ya nyumba.
Soorry mkuu, hii milumumba inakera sanaMkuu mimi sijihusishi na huo ufirauni.
Hawa Ni vijana wa chadema wakipiga watu mbele ya polisi, hili Ni fuso lililobeba wahuni, na huyo Ni mmoja wa watu waliotolewa katoro Jimbo la busanda kwenda kupiga watu chato,
Wanalia basi?Wanashangaa wanaume wanapofanya mambo ya kipuuzi.Wameishiwa hoja mpaka wafanye vitendo vya kigaidi ndani ya Tanzania?Mtalia sana mwaka huu na bado
aCHENI UJINGA WENU YOU MEAN MAGUFULI AKIFIKA SINGIDA APIGWE MAWE I HAD NEVER SEEN A STUPID OF THAT GRADE VIONGOZI WAKO KWNYE KAMPENI WANA ZUNGUKA NCHI NZIMA KUTANGAZA SERA ZAO WHAT WRONG WITH ITNakuunga mkono
Mnama mna siasa za kishamba sana....Lisu ameamuru barabara ifungwe?!!
Kama nani?
Wachumia buku 7 hawawezi kukuelewa, picha inayojengwa ni kuwa ccm imekataliwa na sasa inaleta fujo tuNatamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?
Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
Hata mimi nashangaa, kwanini lissu kaenda chato wakati anajua dhahiri shairi chato ipo nje ya mipaka ya tanzania?.Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Kwa nini sasa Tundu alalamike ikipewa maendeleoChato sio Tanzania?
Mzee ratiba si inaonesha au inamtaka afanye kampeni huko kwa siku ya leo!Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.
Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?
This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
Eti Maccm hayataki TunduALissu alale Chato, yaani ni hivi mtake msitake leo TL atalala chato, nyie si mnajikuta watalaam wa kutoa roho za watu basi jaribuni leo muone, nyambafuuuNiko hapa Chato CCM wanafanya uhuni na uvunjaji wa Amani na Sheria mbele ya Polisi
Ila wananchi wamejitokeza kwa wingi kwelikweli CCM tokea jana walikuwa wanawatisha wananchi wasimpokee Raisi mtarajiwa Jemadari Tundu Lissu.