Chato, Geita: RC awaweka ndani masaa 48 Afisa Elimu Wilaya na Mkuu wa shule ya Zakia Meghji kwa kukiuka maagizo

Kipimo cha uelewa kinatokana na uandikacho hapa,
Sasa hata kifungu cha mamlaka ya DC au RC hukijui unatetea tu,maana yake huelew hata uteteacho,usione haya google katiba angalia majukumu ya RCs na DCs
Asie kielewa atakuwa ni RC, DC, RPC, Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu. Hao ndo wamefanya hicho kipengelw kiwe active.
Unaona na mie ninavyo kupima uelewa wako !
 
Kuna uhusiano gani wa kuwekwa kizuizini kwa watumishi kwa masaa 48 na kukiuka amri ya RC?
Inawezekana ni aina ya adhabu kama ilivyo viboko kwa wanafunzi. Tatizo hii humnyima mtu uhuru kinyume na katiba na haki za binadamu
Hivi kama kosa limeonekana suluhisho ni kupeleka mahabusu na si kutumia taratibu zaa kiutumishi?
Zipo kanuni za adhabu katika utumishi wa umma, aina ya makosa na adhabu. Je hizi hazitoshi? na kama hazitoshi kwa nini basi kisiongeze kipengere cha kumweka mtumishi kizuizini masaa 48?
 
Asie kielewa atakuwa ni RC, DC, RPC, Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu. Hao ndo wamefanya hicho kipengelw kiwe active.
Unaona na mie ninavyo kupima uelewa wako !
Aloamrisha hao jamaa wakamatwe ni RC,umesoma majukumu ya RC kwenye katiba na matumizi ya sheria ya saa 48???Tangu tuanze huu mjadala hujasema NDIO au HAPANA!
 
Daaah hawa RC's ni busara wajitathmin mana wanatengeneza chuki kubwa sana kwa watumish
 
Aloamrisha hao jamaa wakamatwe ni RC,umesoma majukumu ya RC kwenye katiba na matumizi ya sheria ya saa 48???Tangu tuanze huu mjadala hujasema NDIO au HAPANA!
Nimekutajia wasioelewa, hivyo vipengele mimi nikivisoma havisaidii kitu wakati siwezi kuzuia au kuvitumia. Uelewa wako mdogo sana aiseeh !
 
Matamko matamu ka uji wa ulezi. Nyumba ishaanzwa, imefikia kupaua unasema sitisha, panua! Hata banda la kuku halijengwi hivyo. Mlikuwa wapi msisimamishie kwenye msingi??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimekutajia wasioelewa, hivyo vipengele mimi nikivisoma havisaidii kitu wakati siwezi kuzuia au kuvitumia. Uelewa wako mdogo sana aiseeh !
Umeshindwa kutaja kifungu hicho, unabak kubwabwaja.
Kwaheri
 
Matamko matamu ka uji wa ulezi. Nyumba ishaanzwa, imefikia kupaua unasema sitisha, panua! Hata banda la kuku halijengwi hivyo. Mlikuwa wapi msisimamishie kwenye msingi??
Waulizwe hao waliowekwa ndani, maana mchoro hauonyeshi hicho walicho kiweka. Mlipaji kadai kinachopaswa kuwepo, full stop !
 
Umeshindwa kutaja kifungu hicho, unabak kubwabwaja.
Kwaheri
Poa ndugu yangu, napambana sana hapo Dar kuzunguka ndo naana unaona nimepoa. Ila mategemeo ya kupata kazi yapo. Nimefanya intrrview kadhaa. Pia napambana na kesi niliyowashitaki kampuni yangu
 
Umeshindwa kutaja kifungu hicho, unabak kubwabwaja.
Kwaheri
Hicho kifungu nikikitaja kitabadilisha situation !? Ndo maana naona uelewa wako ni wa level ya chini sana. Mi si Lawyer wala HR, waliokifanyia kazi hicho kipengele na walioridhika ndio kazi kwao.
 
Sasa mkuu ushaambiwa jengo LA wanafunzi 80 wao wanajenga 50 , ulitaka afanyaje na maelezo washapewa thamani ya fedha ionekane na ni wanafunzi 80
Hakuna Walaka wa kujenga jengo la wanafunzi 80 Bali ulikuwa kimya so Wao walitumia busara tu kulingana na pesa ilivyo afu ujue Ile pesa ilikuwa inajumuisha na kuweka vitanda Sio ujenzi pekee
 
Waulizwe hao waliowekwa ndani, maana mchoro hauonyeshi hicho walicho kiweka. Mlipaji kadai kinachopaswa kuwepo, full stop !

Kama walijenga ramani nyingine imekula kwao. Kisheria hawawekwi ndaani bali huamriwa kuijenga ile nyumba iliyoko kwenye ramani waliyo patania
 
Safi sana ,hao majizi wahamie chadema
Unauhakika ni majizi??? Maaana kuna usemi kwamba vijana wa ccm hamna akili kama wale wa ZANU PF walio kubaluana mugabe aongoze hadi kufa kwake , mil 75 zijenge bweni la wanafunzi 80?? Mmewahi kujenga kweli nyie! Au ndi watoto wa mama ,kula kunya kulala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom