Chato, Geita: RC awaweka ndani masaa 48 Afisa Elimu Wilaya na Mkuu wa shule ya Zakia Meghji kwa kukiuka maagizo

ukiona mtu anatetea majizi ujue ni CHADEMA, miwatu mingine humu inalalamika ooooh wameonewa, hawajui watoto ambao wanadhurumiwa ni wakwao
Sijui unafikiria kwa kutumia kiungo gani!
Huyo r.c. ndo anaetambua huyu ni mwizi na huyu so mwizi?
Na adhabu ya mwizi ni kukaa ndani masaa 48?
Hakuna ngazi ya kuwawajibisha wala mahakama!!
We endelea kushangilia mambo ya kipumbavu, huu mkondo unazidi kutanuka na siku moja utafika kwenye maisha yako.
 
Hapa kwetu bado viongozi ni werevu sana. Nenda msumbiji ukutane na mwenyekiti wa kijiji tu aamuru askari wake wakupige likada ndiyo utajua kama duniani kuna watu wenye rho mbaya.
 
75 milions kwa wahandisi kukukamilishia jengo la kuchukua wanafunzi 80 ni ndogo, may be liwe bora jengo.
Kwa ujenzi wa vijijini haina shida tofali na mawe vinakuwepo eneo husika for free ni tofauti na mikoa kama dar na pwani na mikoa mingine pia so kwa hiyo 75mls zinatosha isitoshe RC mwenywe ni engeener by professional
 
Hiyo ya kuwaweka ndani sioni hata faida yake zaidi ya cheap popularity tu. Hatua za kinidhamu kwa watendaji kwa mujibu wa taratibu za utumishi ndio naona unafaa zaidi.
 
Sijui unafikiria kwa kutumia kiungo gani!
Huyo r.c. ndo anaetambua huyu ni mwizi na huyu so mwizi?
Na adhabu ya mwizi ni kukaa ndani masaa 48?
Hakuna ngazi ya kuwawajibisha wala mahakama!!
We endelea kushangilia mambo ya kipumbavu, huu mkondo unazidi kutanuka na siku moja utafika kwenye maisha yako.
Pole sana, inaonekana ulishirikishwa kupiga dili hilo
 
Watumishi wa serikali wanahitaji kuendeshwa mpaka wabalike kama sekta binafsi ilivyo, kama hata mkurugenzi wa halmashauri hajui kiasi cha pesa alizotumiwa na yeye ndio accounting officer so sad
 
Nadhani unahitaji at least 400Sq.m kwa bweni la watu 80.. @tsh350k/sq.m hiyo ni tsh140m. Sioni kwa 75m mnajengaje hilo bweni au ndio boma bila sakafu madisha bila top kwa wakati wa baridi.. Vyoo njee mabafu porini.. ?! Na km ni injinia kweli basi najua sasa kwa nini hayupo sokoni..
 
Watumishi wa serikali wanahitaji kuendeshwa mpaka wabalike kama sekta binafsi ilivyo, kama hata mkurugenzi wa halmashauri hajui kiasi cha pesa alizotumiwa na yeye ndio accounting officer so sad
Tunatofautiana vipaumbele.. Mie ni mmoja wa watu naoamini kwenye uelewa.. Sio kukariri.. Ubongo unakazi muhimu zaidi kuliko kuuchosha na kukariri tuuu... Unataka taarifa nitakuandalia there are books kuweka hizo taarifa...

Plus Rais Akifika Halmashauri Tajwa huwa anaanzia wapi uwanjani ? Au ofsini kwa Mkurugenzi?!

Kama anaanzia ofsn kwa mkurugenzi kama protocol kwanini asiwe ana-clarify haya mambo huko?! Hiyo inaitwa busara ya kiuongozi... Ndio maana Baba yako hawezi kumfokea mama yako hadharani.. Au unapofikisha umri Fulani unaitwa faragha kuadabishwa maana inakudhalilisha na kukuondolea heshima hadharani...

Na kama haanzii huko pia ..inaleta ukakasi kwa kiongozi kukosa kufanya hivyo.. Kwani ukikemewa na Rais chumbani au hadharani kunatofauti gani?! Why this has to be done hadharani?!

Au ndio itumike kufuther an agenda you are the righteous one... Among the PAC of thieves?! Cheap Politiks
 
75m ni fedha kidogo sana kwa ujenzi wa bweni la wanafunzi 80 lilijengwa kwa viwango vinavyohitajika. Watu wanatafuta sifa za kijinga.
Msingi, tofali, madirisha, kenchi, bati, plasta rangi, swith nane za umeme !
Aaah...inatosha.
 
DED na yeye alitakiwa kuwekwa rumande, kwani taarifa za maendeleo ya mradi huo zilikuwa haziingii kwenye vikao
 
Ni yale magorofa aliyowadanganya wajinga kuwa yanajengwa kwa 10 bilioni kila moja halafu kila moja likala karibia 50 bilioni. Huyu bwana anawatumia wajinga bila huruma.
Daah....jengo moja 50 bil !? Yalikuwa mangapi yale ?
Wewe ujuaji wako utakuwa umepitiliza. Kama wa nzi, yuko bize kwenye kinyesi anataka atengeneze asali kama nyuki !
 
Awamu hii waalimu wakuu na maafsa elimu wanapata wakati mgumu sana!
Watu wamanispaa wametoka saana kimaisha na pesa za mashule.
Kuna mkuu wa wilaya ya Korogwe bajeti ya madarasa manne, yeye alitoa nane, akapiga rangi na chenji akanunua madawati.
 
Chadema hawajawahi kuwa na akili ! Wanampigia deki Ya barabara Lowassa !
mbowe anajifananisha na mzimu wa chama, eti chama kufa hadi yeye afe, kwahiyo mbowe ndo chama na wengine ni ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ndani ya chama
 
Malizia kusoma taarifa yote basi ! Kuna maelekezo hapo RAS amepewa kuwashughulikia. Mbona Lissu mna muelewaga haraka sana !?
Main issue ni watu kuwekwa ndani saa 48 na mawaziri wengi including Jaffo wa TAMISEMI amekemea sana hili,kama wamefanya kosa wapelekwe mahakaman,kwa sababu watumish wengi awam hii wamewekwa ndani kwa amri za hawa magavana na makamishina wa wilaya na mwishowe ikaonekana wala hawakuwa na makosa,
Ndo maana nimeuliza baada ya kuwekwa ndani hakuna kesi tena?Mambo ya Lissu yanatoka wapi?Halaf mbona kila mtu anayekuwa tofaut na mitazamo yenu mnamhusisha na upinzani?Wengine tupo free ndugu kuhoji na kudadisi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom