Ebo!kwani kwa sasa yupo mtaani?Mpeleke Mahakamani, Mahakama ndiyo itaamua
Ebo!kwani kwa sasa yupo mtaani?Mpeleke Mahakamani, Mahakama ndiyo itaamua
Nasema mpelekeni Mahakamani sio seroEbo!kwani kwa sasa yupo mtaani?
75m ni fedha kidogo sana kwa ujenzi wa bweni la wanafunzi 80 lilijengwa kwa viwango vinavyohitajika. Watu wanatafuta sifa za kijinga.Vipi hiyo pesa ilipigwa mkuu na ni halali?
Ni yale magorofa aliyowadanganya wajinga kuwa yanajengwa kwa 10 bilioni kila moja halafu kila moja likala karibia 50 bilioni. Huyu bwana anawatumia wajinga bila huruma.Pale yalitumika mabilioni sana ila mzee wa mihemko mara ya kwanza alijinadi kwamba atatumia pesa ndogo kwa kuwaaminisha kuwa mbana matumizi.
Watu kitambo walishazidokoa profoma na wakaona gharama halisi.
Unajua Lipoje? Bweni siyo ukumbiMilion 75 zinatosha kujenga jengo la wanafunzi 80, kwani kikubwa hapo ni bati na ukuta tu.
Bweni halina mbwembwe kama nyumba ya kuishi
ulitaka wambembelezwe?? au mmoja wa hao ni ndugu yako??Haya ni matumizi mabaya ya madarakani kwa watumishi wa umma
ukiona mtu anatetea majizi ujue ni CHADEMA, miwatu mingine humu inalalamika ooooh wameonewa, hawajui watoto ambao wanadhurumiwa ni wakwaoSafi sana ,hao majizi wahamie chadema
Halafu masaa 24 ni kama kuna kuhatarisha usalama hapa atasingizia nn?This is madness; when is it going to stop? Mbona PM alishaagiza tabia hii ya kuwadhalilisha watumishi wa umma ikome mara moja? RC huyo ni wa ajabu; atumbuliwe. Alichotakiwa kufanya ni kuagiza wahusika wachukuliwe hatua za kinidhamu au kisheria. Tangu lini masaa 48 mahabusu ikawa adhabu ya kiutumishi?
75m ni fedha kidogo sana kwa ujenzi wa bweni la wanafunzi 80 lilijengwa kwa viwango vinavyohitajika. Watu wanatafuta sifa za kijinga.
This is madness; when is it going to stop? Mbona PM alishaagiza tabia hii ya kuwadhalilisha watumishi wa umma ikome mara moja? RC huyo ni wa ajabu; atumbuliwe. Alichotakiwa kufanya ni kuagiza wahusika wachukuliwe hatua za kinidhamu au kisheria. Tangu lini masaa 48 mahabusu ikawa adhabu ya kiutumishi?
Unatayarishwa uwe mji mkuu.na chato nako?
Kosa moja linakuwaje na adhabu mbili? Kama amewaweka ndani kwa kosa hilo hatakiwi kusema tena wachukuliwe hatua za kinidhamu kwani ilitakiwa ama achukue hatua za kinidhamu dhidi yao au awaweke ndani. Yeye kaamua kuwaweka ndani lakini tena bado anataka hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yao!!Aidha, Mhe. RC amemuagiza DED achukue hatua za kinidhamu kwa watendaji hao kwa mujibu wa taratibu za Utumishi wa Umma.
CHANZO: Geita Info