Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,689
- 3,418
Rais wa wanyonge, naona amekaa kwenye kigodoro!!
Rais wa wanyonge, naona amekaa kwenye kigodoro!!
Akili hizi ndo za kipuuzi unadhani uzalendo ni kuwa maskini? Hapo ndo tuone alivyowa ajabu mshahara wa waziri tu unatosha kumjengea mama yako nyumba nzuri na kuimaintainNyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa
acha uongo ikulu ndogo anaishi mama yake na dada yake?Ile ni Ikulu ndogo sio kwa John Magufuli!
Hata Wewe ukiwa Rais utafikia kwny lile Kasri ukienda kule!
acha uongo ikulu ndogo anaishi mama yake na dada yake?
Amezoea kuwadanganya wasiojielewaDon't believe anything you see! Mimi nimefika pale, kuna kasri za kutosha plus kanisa kubwa ndani yake! Ni pazuri sana!
We kweli jingalaoNyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa
Hahaha aaaaah...Magu kwa kutuzuga tu kajaaliwa wallah dahRais wa wanyonge, naona amekaa kwenye kigodoro!!
Ndo maana ukajiita Jingalao...keep living!Nyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa
Weka picha bila hivyo wewe ni mpiga ramli wa lumumba fcDon't believe anything you see! Mimi nimefika pale, kuna kasri za kutosha plus kanisa kubwa ndani yake! Ni pazuri sana!
Yaani umasikini ndo unakufariji hivyo?Nyumba ya kawaida sana ...hata rangi za ukutani zimechubuka.
Ni maisha yetu ya watanzania wa kawaida...lipo la kujifunza hapa
jamaa labda mpaka home hashaurikiDuuuh, kwa mamake pako very normal aisee... Dadake anaonyesha anaishi maisha ya kawaida kabisa... Kigodoro alichokalia JPM kimechoka..