Chatanda awatimua waandishi wahabari awatisha kuwapiga bastola

mbunge wa CCM wa viti Maalumu ukisha sikia viti maalumu kwenye chama cha maulaji ujue tu treni imepita kwenye tunnel kwani hata JK alisema ukitaka kula lazima uliwe

Natumai uchumi wake alioukalia kunafisadi anajimegea na yeye anaambulia 10% ndio maana anajeuri
 
Na Joseph Ngilisho,Arusha
Ameanza kuwashambulia waandishi wa habari na
kuwaita wahuni, huku akiwatishia kuwapiga bastola.

Waandishi waliofukuzwa na huku akiwatamkia maneno ya kashfa kuwa wameletwa sababu ya kufuata uchumi, ni................


Lakini Chatanda aliendelea kushikilia msimamo wake na kusema hapo siyo mahali pa kupata uchumi, watoke nje na waandishi hao walitoka nje ya jengo hilo.

................
kumkatisha huku akimkejeli mwandishi huyo kuwa, anamshangaa kuvamia mkutano ambao hakualikwa na alikuwa ametokea wapi.

.................“Hivi wewe umetoka wapi? Maana hatukujuwi, sisi tunazungumzia mambo yetu na kunyanyuka kutoka nje ya kikao” alisema Ihucha.

NAye Paul Sarwat wa gazeti la Raia Mwema, naye anasikitishw ana kauli za Katibu huyo na kusema awali, alishawahi kumfuata na kumtaka atoe ufafanuzi juu ya habari za CCM, lakini katibu huyo alimjibu kwa kejeli na kumwambia
atamchapa makofi akiendelea kuandika habari za CCM.


Alisema Chatanda alimwambia kuwa yeye haoni habari za kuandika sipokuwa habari ni cCM tu,
akiendelea atamchapa makofi.

.
Hayo maneno niliyo ya highlight ni mwiba mkubwa kwa waandishi wa habari,na wasipochukua hatua yoyote huyu Mama atawa**jolea kichwani na hawatamfanya lolote.

 
Natamani huyu mama apate mume kutoka Tarime a.k.a KANDA MAALUMU. Miezi miwili ya ndoa inatoshamtamwona atakua fresh
 
Jamani yatupasa tuelewe kuwa nafasi za ukatibu wa CCM mkoa na Wilaya ni za kuajiriwa. Hivyo ajira za vimemo na kujuana zimejaa sana ktk CCM na jumuia zake. Huko wanachoangalia wewe ni kijana wa nani? unajuana na nani? au chakula cha nani? Elimu kidato cha nne bila kujali cheti ni chako au cha kuchakachua. kuhusu kadi ya chama hata leo ukitaka utaipata tena kwa kutuma mtu akakuchukulie, hata ukiwa dar ukataka ya tawi la ujiji kigoma utaipata hivyo Ajira ktk CCM haizingatii weledi na ukada wa chama bali vigezo nilivyo vitaja. Hivyo hatujui CHATANDA kapata nafasi hiyo kwa kigezo kipi? Hivyo usitegemee chochote cha maana kwa kiongozi wa aina hii, na ndio hao wanao tuingizia ktk serikali yetu kama wakuu wa wilaya, manaibu mawaziri, hata wakuu wa mikoa ndio maana unakutana na kiongozi hoja anazotoa hadi unatamani kiziba masikio. UKUPANDA BANGI UTAVUNA GANJA/WIDA USITEKEMEE KUVUNA MAHINDI
 
Back
Top Bottom