Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,036
Wadau wapenzi wa mazoezi je ni chata gani kali ya jezi unaipenda Zaidi na kwa sababu gani? Mie napenda Under Armour au Nike yaani nikivaa wakati nafanya jogging najihisi kupendeza na kwenda na wakati. Wewe unapebnda sport brand gani?
 
Washauri TFF na vilabu
vya Tanzania waachane na uhlsport, sijui wanakwepa nini kuvaa brand za nike, puma, adidas etc
 
Washauri TFF na vilabu
vya Tanzania waachane na uhlsport, sijui wanakwepa nini kuvaa brand za nike, puma, adidas etc
Mikataba mzee UHLSPORT ndio wamejitokeza na Ku offer mkataba wa vifaa vya michezo kwa club zetu na national Tim ..ulitaka wafanyeje...wakatae ?? Nike na Adidas kuja huku tz badae sana
 
Adidas na Nike tuwaweke pembeni ktk mchakato huu,hawa wanaogelea ktk dunia yao wao wenyewe
Kuna makampuni makubwa yanakuja na yanaweza kuwapiku soon kama umbro, Under Armour, na wenzao katika level yao kama Puma, Reebok, Asics, DKS, Sketchers, Converse na nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom