Washauri TFF na vilabuWadau wapenzi wa mazoezi je ni chata gani kali ya jezi unaipenda Zaidi na kwa sababu gani? Mie napenda Under Armour au Nike yaani nikivaa wakati nafanya jogging najihisi kupendeza na kwenda na wakati. Wewe unapebnda sport brand gani?
Washauri TFF na vilabu
vya Tanzania waachane na uhlsport, sijui wanakwepa nini kuvaa brand za nike, puma, adidas etc
Mikataba mzee UHLSPORT ndio wamejitokeza na Ku offer mkataba wa vifaa vya michezo kwa club zetu na national Tim ..ulitaka wafanyeje...wakatae ?? Nike na Adidas kuja huku tz badae sanaWashauri TFF na vilabu
vya Tanzania waachane na uhlsport, sijui wanakwepa nini kuvaa brand za nike, puma, adidas etc
Kuna makampuni makubwa yanakuja na yanaweza kuwapiku soon kama umbro, Under Armour, na wenzao katika level yao kama Puma, Reebok, Asics, DKS, Sketchers, Converse na nyingineAdidas na Nike tuwaweke pembeni ktk mchakato huu,hawa wanaogelea ktk dunia yao wao wenyewe