Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Kushakucha sasa.
Tutasikia mengi tu.
Ngoja niwah kibaruani mie.
Uajajiajili wewe mwenyewe?
Asubuhi Njema
Naomba kazi?Jamani, Kwani hakuna mabosi wanaotaka muwahi kazini muda kama huu?
Mimi nimejiajiri huku nimeajiriwa.
Naomba kazi?
Duh!!!Message was sent at 10:47pm on Monday, kwa hiyo alipata ajali baadae!!!
How comes nilipata information at 10:05pm? Just asking!!!
Labda ya kunifanyia massage.
Imepikwa hiyo unless watuambie ni time zone ipi ilitumika,au ilikuwa the day b4
Kweli Nicas Mtei alitabiri hayo makitu yote hayo kuwa hayana budi kutokea. Tufanye mambo yetu na tuwe waangalifu.
Duh!!!Message was sent at 10:47pm on Monday, kwa hiyo alipata ajali baadae!!!
How comes nilipata information at 10:05pm? Just asking!!!
OHOOO usianze kuleta conspiracy theories hapa...ameshaondoka basi tuachie hapo
Hao walioonyesha hizo message hawakulijua hilo? Tumepewa akili za kufikiria, sio kila tunaloambiwa tulipokee tu eti kwa sababu ya kuogopa kuleta conspiracy theories............ BTW kuuliza sio ujinga........
Filipo kamata mwizi meeeeen??!!?!