Chat ya mwisho ya sharo milonea na linex wakiongelea mambo ya barabarani...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
[h=3]CHAT YA MWISHO YA SHARO MILONEA NA LINEX WAKIONGELEA MAMBO YA BARABARANI....[/h]

Huu ni ujumbe kutoka kwa marehemu baada ya ku chart na msanii wa Bongo Fleva hapa Tanzania aitwaye Linex Sunday.

[h=3]WASANII WATOA NYIMBO MBILI ZA HUZUNI SANA WAKIMLILIA MSANII SHARO MILIONEA....[/h]

DOWNLOAD WIMBO HUU WA MAOMBOLEZO

Bonyeza hapa
http://freebongo.blogspot.com/2012/11/wasanii-watoa-nyimbo-mbili-za-huzuni.html​

Duh!!!Message was sent at 10:47pm on Monday, kwa hiyo alipata ajali baadae!!!
How comes nilipata information at 10:05pm? Just asking!!!
 
Kweli Nicas Mtei alitabiri hayo makitu yote hayo kuwa hayana budi kutokea. Tufanye mambo yetu na tuwe waangalifu.
 
Last edited by a moderator:
Imepikwa hiyo unless watuambie ni time zone ipi ilitumika,au ilikuwa the day b4
Duh!!!Message was sent at 10:47pm on Monday, kwa hiyo alipata ajali baadae!!!
How comes nilipata information at 10:05pm? Just asking!!!
 
Hapo ni kwamba anataka ujiko kuwa alitabiri kifo cha rafikiye au ???? what's the point of disclosing hiyo conversation....hellooo!!!
 
OHOOO usianze kuleta conspiracy theories hapa...ameshaondoka basi tuachie hapo

Hao walioonyesha hizo message hawakulijua hilo? Tumepewa akili za kufikiria, sio kila tunaloambiwa tulipokee tu eti kwa sababu ya kuogopa kuleta conspiracy theories............ BTW kuuliza sio ujinga........
 
ndio maana NAKUPENDA
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom