Chasha, Ukosefu wa elimu ya ujasiria mali ni tatizo kubwa TZ na siyo vinginevyo.

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,944
2,000
Mara nyingi nimejikita zaidi ktk jukwaa la siasa na kuwa msomaji tu wa jukwaa hili. Hata hivyo, mada hii ya ujasiria mali iliyoanzishwa na Chasha huku mimi nikiwa mdau wa fani hiyo imeniibua ili nami nitoe mchango wangu.

Kwanza nakubaliana na chasha kuwa tatizo la kimsingi ni elimu ya ujasiria mali. Na vile vile natoa pongezi za dhati kwamba yuko njiani kuacha kazi. Sijui tajiri aliyeajiriwa ila najua matajiri wengi wajasiriamali/wafanya biashara - Hongera sana.

Hata hivyo, sikukubaliani na mtazamo wa mmoja kwa moja wa kwamba ujasiria mali ni kitu unazaliwa nacho na kwamba kuna wengine hata wakisomeshwa elimu ya ujasiria mali kwa kiasi gani ama wakijisomea vitabu vya ujasiria mali kwa kiasi gani hawatafanikiwa - Hapa nina mawazo tofauti.

Kwa maoni yangu,
Tofauti kati ya maskini na tajiri hapa Tz na duniani ni upungufu wa elimu ya ujasiria mali. Idadi kubwa ya masikini tulio nao wasomi na wasio soma, vijana kwa wazee, waafrika kwa wazungu na wa kike na wa kiume ujinga inatokana na upungufu wa elimu ya ujasiria mali.

Ni ngumu sana kukubaliana moja kwa moja kwa 100% na dhana kwamba kuna watu ambao wamezaliwa maskini na wengine wamezaliwa matajiri kwa hoja kwamba wengine wana traits za ujasiria mali na wengine hawana - HAPANA.

Ninakubalina kwa kiasi fulani kuwa kuna born na made interpreners lakini tofauti kati yao itakuwa ktk kiwango cha mafanikio ikiwa wote wawili watapata elimu ya ujasiria mali sawia. Yaani born interprener atakuwa na kasi na ubunifu na ujasiri wa hali ya juu na hivyo kumshinda mwenzake kifedha, wakati made interprener atakuwa tajiri ila hatamfikia born enterprener kutokana na kuzidiwa ktk baadhi ya traits za ujasiria mali.

Kuna ushahidi mwingi kwamba kuna watu wengi waliopata ufahamu\elimu juu ya ujasiria mali wakafanikiwa na kutajirika bila kujali kama ni born or made enterpreneurs na vivyo hivyo, born interprener atamtangulia made interprener. Na ifahamike kwamba kabla hawajafunguliwa macho wote wawili walikuwa maskini sawia.

Mwisho, kama wote wawili - born na made interpreners wakiwa vijijini kabisa na hawajui kusoma na kuandika na hawana ufahamu wo wote wa ujasiria mali mara nyingi wote wawili wanaweza pia kuwa maskini sawia - hatuna ushahidi wa kuonesha vinginevyo.
 
CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,122

Mkuu ni kweli kuna Ukosefu wa Elimu ya Ujasirimali lakini ni kwa ambao tiyali wako kwenye business na tunazungumzia elimu kama

1. Masoko
2. Michanganuo
3. Kutunza fedha
4. Jinsi ya kupanga bei na kazalika

Hizi hata kama una sprti ya Ujasirimali still utazihitaji tu, MIMI NINACHO ZUNGUMZIA NI ELIMU YA KUKUFANYA UWE MJASIRIMALI HIYO NDO HAKUNA, na haipo mahali popote pale na haifundishwi licha ya kuto kuwepo, Elimu inayo fundishwa hata vyuo vikuuu ni hiyo hapo juu na hiyo si elimu ya kukugeuza kuwa majasirimali,

Mtu kuwa mjasirimali haitaji elimu make haipo, nazani unanipata, so hizi semina zinazo fundishwa ni business skills na baadhi ya entreprenership skills,

Ila mkuu kama huna hiyo spirt hata ungesoma hadi upate Phd ya entreprenership ni kazi bure, wewe jaribu kufanya research hata kwenye vyuo vinavyo toa degree za entreprenership hapa Tanzania, kama MZUMBE, UD NA UDOM na SUA, uliza graduate wanendaga wapi mara tu baada ya kumaliza, watakuwambai wako wanatafuta kazi na hiyo haina ubishi

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom