charminglady we mkali!jins ulivyonichosha leo hadi nimeshindwa kuamka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

charminglady we mkali!jins ulivyonichosha leo hadi nimeshindwa kuamka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ruhazwe JR, Aug 25, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah! charminglady kumbe we mkali wa malavidavi aise!,penzi la kuiba tamu,ujue umenichosha kiasi kwamba toka ulivyoniacha asubuh nimeshindwa kuamka,bado nimelala tu,please ukija uniletee dawa za maumivu.alafu ulisahau blezia yako pamoja na heleni moja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu dunia inamambo toka kitambo nyinyi endeleeni

  sisi 2naendelea kupata mbege
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,857
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Wacha urongo wewe, leo kutwa nzima nilikuwa na huz to be MtotoSix, kama vipi ngoja aje hapa athibitishe hilooo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kidding at their works !
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Madabhali Jnr acha madawa ya kulevya hasa bangi haikufai...ona sasa una halucinate tu ovyo, charminglady nimelala nae nimeamka nae sasa ilo penzi kakupea watu, unaonekana kituko mbele ya wanachitchat
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mmmh......chitchat siku hizi, kama hostel za wanavyuo na malovee ya kutambiana! Lol
   
Loading...