Charles Kitwanga: Wauza madawa ya kulevya ndio walioniondoa kwenye nafasi ya uwaziri

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa katika nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizotolewa na ikulu ni uongo mtupu.

Hii sio kauli ya kawaida, ni nzito na ya kuogofya inatia Shaka pia kujua hao wauza unga wenye mamlaka makubwa namna hii ni akina nani? Kwa hiyo wamemshugulikia yeye ili biashara iendelee kushamiri hapa nchini?

Taarifa Kama hii ni fedheha kwa Mtukufu na mamlaka yake. Ingekuwa kama kule Marekani Kitwanga angeitwa na kuhojiwa na shirika la ujasusi la F.B.I ili atoe taarifa muhimu juu ya mtandao huo hatari unaoangamiza taifa wakati yeye kumbe anawajua vizuri.

Mimi naona Kitwanga anayo mengi ya moyoni toka huko Israel alikoenda kupata mafunuo ya kimungu.
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa ktk nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizo tolewa na ikulu ni uongo mtupu.

Hii sio kauli ya kawaida, ni nzito na ya kuogofya inatia Shaka pia kujua hao wauza unga wenye mamlaka makubwa namna hii ni akina nani? Kwa hiyo wamemshugulikia yeye ili biashara iendelee kushamiri hapa nchini?

Taarifa Kama hii ni fedheha kwa Mtukufu na mamlaka yake. Ingekuwa kama kule Marekani Kitwanga angeitwa na kuhojiwa na shirika la ujasusi la F.B.I ili atoe taarifa muhimu juu ya mtandao huo hatari unao angamiza taifa wakati yeye kumbe anawajua vizuri.

Mwacheni Kitwanga apunzike ale pesa a.k.a Lugumi/Infos!
Mambo ya Unga muulizeni Jk kama hajampatia majina Jp
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa ktk nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizo tolewa na ikulu ni uongo mtupu..

Mkuu, umesoma ndani kabisa ya gazeti au umepitia headings tu? Majira ni wazuri sana kwa headings za kuvutia ila ukiingia ndani unakuta yaleyale mambo ya Ijumaa na Kiu.
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa ktk nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizo tolewa na ikulu ni uongo mtupu.

Hii sio kauli ya kawaida, ni nzito na ya kuogofya inatia Shaka pia kujua hao wauza unga wenye mamlaka makubwa namna hii ni akina nani? Kwa hiyo wamemshugulikia yeye ili biashara iendelee kushamiri hapa nchini?

Taarifa Kama hii ni fedheha kwa Mtukufu na mamlaka yake. Ingekuwa kama kule Marekani Kitwanga angeitwa na kuhojiwa na shirika la ujasusi la F.B.I ili atoe taarifa muhimu juu ya mtandao huo hatari unao angamiza taifa wakati yeye kumbe anawajua vizuri.

Mimi naona Kitwanga anayo mengi ya moyoni toka huko Israel alikoenda kupata mafunuo ya kimungu.
Tulisha sema kuwa kwa mungu hakuna kubwa,sasa tumeanza kuwajua
 
Vipi kuhusu lugumi hakuizungumzia angalau kiduchu?
 
Neno la Mungu lilimjia mwana wa Kitwanga akiwa huko Yerusalemu.
 
Back
Top Bottom