Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

Exposure ni "noun" sasa "verb" yake ni ipi?

Expose: to provide someone with the opportunity to experience new ideas, activities etc so that they can learn about them.

For Example: Schools are again "exposing" children to the classics.

Ninaomba unisahihishe kama nimekosea mkuu.
Umejitahidi kufafanua soja
 
Mtu aliyekua analipwa zaidi ya mil 30 kwa mwezi leo hii mnamwita ana njaa , duh tuna safari ndefu sana , kimei ana hela chafu na wala hayo sijui ma v8 hajaanza kuyatumia leo ,kumbuka zawadi tu ya harusi ya mwanae alimpa nini , watu wako vyema sana nchi hii
 
Back
Top Bottom