Uchaguzi 2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.

Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.

Umechukua buku ngapi? Nenda kanywe chai naye kama unampenda.
 
Hivi wewe dogo unakuwaga na matatizo gani? Kwa hiyo hilo bunge ndio la kupeleka wastaafu? Mtu kafanya kazi mpaka kachoka, ww ndio unaona aende bungeni!
Trump ana miaka 74, Joe Biden ana miaka 77. Upi uchovu wa Charles Hilary?? Ni kweli, go Charles, una jina kitaifa na ushawishi.
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.

Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Tungewapima kwa kura chini ya tume huru.
 
Sasa kama vijembe ni sehemu ya siasa kwanini sasa wewe ukatae na uone haifai yeye kujiingiza kwenye hiyo siasa unayo iita ya kikondoo?

Yuko tayari kwa ukondoo, au ww ndio unamlazimisha kuwa kondoo?
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.

Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Mwache apumzike aseee
 
Usimshauri vibaya...mambo ya kupata 03 kwa mtu mzima kama Charles ni aibu!!

CV ya Charles inatosha saana!! Imeshiba...kitu hadi BBC ebo.

Anaheshimika mno yeye na Tido...
Wakongwe wa RTD Pugu road enzi hizo acha kabisa.

Vijana wa siku hizi hamyajui haya!! Muwe mnauliza.
 
Sasa kwahiyo hayo unayo yasema ndio hastahili kugombea ama.
 
Hadhi yake kubwa...kugombea nini? Unataka Charles awe mzee ya Yes yes kupiga meza? Nini wanafanya wabunge wa CCM zaidi ya kusifu na kuabudu kila kitu kinacholetwa na Serikali bungeni...
 
Sasa kwahiyo hayo unayo yasema ndio hastahili kugombea ama.
Bunge gani? Yaani awe mbunge wa CCM & awe mzee wa yes yes.... Charles si mtu wa kuigiza Bungeni kushangilia kwa vijembe!! Charles status yake ni kubwa zaidi ya hiyo.

Bunge la Tanzania.. hasa ukiwa mbunge wa CCM ni kulala tu ukiamka ni kupiga makofi ya ndiyooooooo unalipwa mamilion ya bure...si Charles huyu!!
 
Hasira yako ni kwamba hutaki awe mbunge kupitia ccm ila hizo nyingine ni propaganda tu
 
Nia ya kumnyanganya Mnyika jimbo wakati mnyika mwenyewe asha declare kutokugombea
 
Ukweli upi sasa hapo zaidi ya propaganda na chiki tu mkuu.
 
Back
Top Bottom